Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Pair zinazoshona Hadi sare za kitenge wengi wao ni wanafunzi kwenye Mambo ya mapenzi. Hivi nguvu za kwenda Hadi serikali ya kijiji kushtaki kwamba mke anachepuka unaitoa wapi mwanaume na heshima zako??
Si angemuacha tu akafie mbele huko na uhuni wake.
 
Rest in peace Mr Tungaraza
 
Hawa vijana ni washenzi mkuu wanatumia kila mbinu kushawishi wake za watu.

Hata kama wanakataliwa.

Wakishaona mahali kuna unafuu wa maisha wanaanza kuwinda.

Ni kuwapiga marufuku kabisa wasisogee hata hatua mbili kwako.

Boda boda na bajaji piga marufuku kabisa utanishukuru.
 
Sasa kaka hawa ndio usafiri wetuu
 
sasa anaejipa moyo kuoa pisi mbovu ndio ponea yake aloo watu wanaitaka hiyo hiyo mbovu
kuna jamaa mmoja mpenda pisi kali alituacha hoi alipooa pisi mbovu, tulipomuuliza kulikoni alijibu amefanya hivyo ili wahuni wasimtamani mke wake. Ikapita miaka kadhaa aliachana na mke huyo na hatujui sababu za kuachana kwao
 
bora uishi single fadher kuliko kuishi na mwanamke mnyanduliwaji nje. Kwanza akinyanduliwa nje, ndani hatakuwa na ushirikiano mzuri wa kunyanduliwa na mume wake, inauma sana
ukute kanyanduliwa na muhuni mwenye hogo refu na wewe ni kibamia tu atakudharau na kuona ni cha mtoto humfanyi kitu, akikohoa mashine inatoka nje yenyewe, utadharaulika mpaka ukonde
 
Sina muda wa kupoteza kuchunga mtu ambaye tumekutana ukibwani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…