Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Daaah noma kabisaaa.
Dawa ya mwanamke kama amezingua,ni kumpiga chini. Sio kwenda kuzaa hovyo nje
 
''Mlioana kwa wema na kama ikibidi kuachana muachane kwa wema''...ndoa sio gereza kwamba umekula kifungo cha maisha.
 
Hapo bodaboda kamzidi marehemu.!! Halafu wanaume msijione watakatifu sana!! Hata nyie mnawaua sana wanawake. Na nyie wanaume kwa wanaume pia hampendani…!!
Huyo bodaboda ndo muharibifu wa ndoa ya mwanaume mwenzie.!!

Bwana ametoa, Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe. πŸ™
 
Ila boda boda wana hatarii, sijui hata pikpik zimewekwa nn.
Kijanaa akianza kuwa boda, hata km alikua zoba atachachuka na, kua malaya. Lol

Ko alitaka ale mirathi ya Mwl mkuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila walimu wengi wamezubaa mno
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wanaume hampendani, boda kajisosomola mke wa ticha kiulainii na mtoto juu.!!
 
Unamfokea nani sasa,au nawewe unamchepuko unajaribu kutafuta faraja ya moyo? Acha mara moja
 
Asilimia kubwa Wanawake imezidi kuuwa Waume zao Si kimapenzi tu hata Kimali..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…