mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Mafunzo yanatolewa na polisi tena bure ila hawaendi kujifunza!!Mwezi jana kupita Kibaigwa usiku nilikuta gari zimesimama na mimi nikaenda kushuhudia.
nikakuta vidume viko bize kumchomoa dereva wa boda na boda yake kanasia katikati ya akseli za nyuma ya tela.
boda waliowengi hawazingatii kabisa usalama kwasababu hawapatiwi mafunzo ya udereva.
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app