mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Mafunzo yanatolewa na polisi tena bure ila hawaendi kujifunza!!Mwezi jana kupita Kibaigwa usiku nilikuta gari zimesimama na mimi nikaenda kushuhudia.
nikakuta vidume viko bize kumchomoa dereva wa boda na boda yake kanasia katikati ya akseli za nyuma ya tela.
boda waliowengi hawazingatii kabisa usalama kwasababu hawapatiwi mafunzo ya udereva.
ndio mwaka juzi niliona gari ya polisi inatangaza mafunzo ya bodaboda Veta tena sio kutwa nzima ni kwa muda mchache tu, lakini hulka yetu inajulikana atupendi kujifunza au kujiendeleza.Mafunzo yanatolewa na polisi tena bure ila hawaendi kujifunza!!
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Sheria zote wanasihasa wamezikanyagaBoda boda haziruhusiwi kutumia highways, hii ni sheria isipokua politicians wanaangalia kura tu, ukubwa wa pikipiki hizi ni mdogo kuruhusiwa kutumia freeways, pia hawavai hermits za kujikinga na ajali ,ondoa bodaboda zote kwenye barabara kuu,Mbeya kwenye ile T1 ndio uchafu zaidi maana kuna bajaji ndani ya highway kibao
boda akikufuata huko na wewe ni demu ujue kafagilia takoBodaboda ni laana kwa taifa. Hawa watu...sijui wamelogwa?
Hata kama unatembea kwa miguu sehemu sahihi, bodaboda wanakufuata kama wanataka kukugonga. Mfyuuuuuu
dah nashukuru mwana kwa kunijali. mie nashukuru mzima kabisa nipo hapa nyumbani lounge nasubiria warembo tuuJamaani em tuwe serious kuhusu member mwenzetu mmoja anaitwa mzabzab ,
Wote tunajua anavopenda mbususu na udereva wake wa boda boda. Sasa kwa alieko karibu nae amshtue tujue kama yuko hai. Maana haya mambo ya fake ID, unaeza kuta mtu kalala yoo watu hawajui
Aisee maisha ni mafupi nimepita Bwawani -Moro mida hii ya saa 1 jioni kuna bodaboda wawili wamekanyagwa vibaya sana na lorry , kiufupi wamekufa , yaani vichwa havieleweki
Msinidai picha nimeshindwa kupiga
Mbona wakibeba chips kuku tunasema wameagizwa?Unaweza kukuta bodaboda walikuwa wanaenda kula tunda kimasihara
Wako wenge 24/7 kichwaniBodaboda ni laana kwa taifa. Hawa watu...sijui wamelogwa?
Hata kama unatembea kwa miguu sehemu sahihi, bodaboda wanakufuata kama wanataka kukugonga. Mfyuuuuuu
iyo baraba ya moro dar inatakiwa iwe four way lasi ivo tutakufa sana, gari nyingi road ndogo halafu ni high way
Toa mbususu tuchakate mkuu za cku izi zimezidi utam na ule mlio wa ntaah ntaah[emoji108][emoji23][emoji23]Na tutakufa kweli....Mungu adhihakiwi.Tumrudie Muumba wajamen...kilasiku mbususu mbususu utadhani ndo zimerushwa Leo dunian
VizuriToa mbususu tuchakate mkuu za cku izi zimezidi utam na ule mlio wa ntaah ntaah[emoji108][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja kanikosakosa kunigonga leo mitaa ya Benki kuu, mida ya saa tatu nikiwa jogging [emoji35] yaani alikuwa ananifuata pembeni kabisa nje ya barabara