macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Huyu mwanamke unayezungumzia anapatikana mtaani kwenu tu au pengine kwenye jamii unayoishi tu. Mimi kwenye maisha nimeona wanawake wenye msimamo na hawako kama unavyotaka kuniaminisha. Upande mwingine wa shilingi: Je wewe ni wale wenye mawazo kuwa mwanamme ni lazima achepuke na mwanamke akichepuka basi ni kiumbe dhaifu? Wewe ni wale wanaume wanadhani ukimtimizia mke wako mahitaji yake yote na familia unaitimizia kila kitu basi una uhuru wa kuchepuka mara moja moja ila mwanamke ni marufuku?Mwanaume ndiye mtu mwenye akili timamu tangu Dunia inaumbwa
Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana licha ya wadhifa na cheo kikubwa alichonacho bado ukimuimbisha vizuri unapiga.
Licha ya kupewa Kila kitu bado mwanamke anaweza kutembea na bonge la fala yaani ili mradi lijue kutongoza.
Mwanamke hajui anataka nini,
Mwanaume nitakaye msamehe ni yule atakayetembea na mke wangu bila kujua
Lakini Kuna vidume wanakujua wanamleta hadi kwako mkeo Kisha anakucheka na kukutangazia, lengo akuvue utu weeeeeeeeeeeeee