Morogoro: Fumanizi la Wapenzi lasababisha kifo

Morogoro: Fumanizi la Wapenzi lasababisha kifo

Wao wenyewe wanashiriki hiyo michezo Leo waje kutunga Sheria sidhani. Acha tuuwane labda wataona na kuskia.
Ni kweli asilimia kubwa ya Wanawake wabunge ,wakurugenzi maDC na hata Mawaziri hawana ndoa na hawaamini katika heshima ya Ndoa . Wanazaa lakini hawajaolewa . Ngono wanaipenda ila hawataki wawekewe mipaka ya kufanya ngono na wanayemtamani. Halikadhalika wanaume wabunge na Mawaziri wabunge pia wananufaika na uholela wa kufanya ngono isiyo na utaratibu mana kwao kila kitu ni halali. Wapo juu ya SHERIA . Udanganyifu wowote ni halali Kwa mwanasiasa asiye na maadili au asiyewekewa SHERIA Kali ya maadili. JPM alikua anaharibu kuchagua watu wenye hofu ya Mungu ndio maana wengi wakajifanya ni Wacha Mungu tatizo akashindwa kuwapa wananchi uhuru wa kuchagua wachamungu wa kweli. Bunge limejaa watu wasiokubalika kwenye jamii kuanzia matendo yao na maneno yao na hisia zao na hulka zao.

Bora hata Daktari Tulia Akson amekua mfano wa kuwa na Mume wake na yule mama Waziri Gwajima. Na mwingine ni Jafo na Mwigulu Nchemba wanajitahidi kuonyesha heshima ya Ndoa. Wengine wote ni p...ndaaaaaa!!
 
Ndio ukweli hata mimi ikitokea ntafanya kama alivyofanywa huyo tuendelee tu kusubiri matukio mengine mengi.
Eti wanasema kama anachepuka si umwache.
Sawa Utamwacha na familia yako itaumia na watoto wanakosa uelekeo.

Sasa mtu amemwacha mke je yule mwanaume alisesababisha nikamwacha mke yeye anachukuliwa hatua Gani Kali ya kudhibiti kuharibiwa Kwa familia za watu. Shiria inakuambia kafungue kesi ya madai. Sasa kama ana Mapesa ya wizi na ufisadi au ana mawakili Mwenzake hana unafikiri SHERIA hapo itakua imemnufaisha nani kama sio yule mzinzi na kumpa uwanja Sasa wa kujitanua na mtalaka wako huku watoto wakiteseka na mwenye ndoa halali akiugua Kwa stress.
Ni wakati Sasa wa kuwalinda wale waliotulia kwenye ndoa na wanaoamini katika heshima na utakatifu wa ndoa na familia yenye malezi Bora.

Dawa yao ni kuwatenganisha kama walivoahidi kwenye kiapo Cha ndoa kuwa kifo ndicho kitakachowatenganisha.

Hakuna namna nyingine ya kudili na wanaochepuka kwenye ndoa za watu. Ni kutumia mbinu za Kuwalaani (Kwa wenye Imani kali) na kuwaloga (Kwa wasio na Imani ya kuweza kumsihi Mungu ashughulike na wazinzi) na kuwaua ( wasio na Imani yoyote juu ya kwenda Mbinguni) ndiyo suluhu mpaka serikali itakapochukua Jukumu la kulipa kisasi mana serikali inasimama badala ya Mungu na kazi ya Mungu ni kulipa kisasa Kwa wanaoonewa.
 
Na bado watauana sana, si wanajifanya wao ni malijari na mapenzi wanayajua, watakwisha mnooo.

Vijana wadogo wanakimbilia mapenziii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Keleleee we!!tuache tuzitafune,
 
Na huyo muuaji akikamatwa anakwenda kuozea jela kisenge kisa Mbususu?
Wengine tunazimbia zinatughasi wengine wapo tayari kuua mtu.
Dunia haiko sawa.
 
Haya mambo yanauma sana serikali iangalie kwa jicho lingine ,hakuna kitu kinatia sumu kwenye ndoa kama uzinzi ,alafu watu siku hiz hasa kina mama uzinz kwao ni jambo la kawaida tuu,maana biashara ya mwili bado inalipa ,mkeo shida na maden ya vikoba vikimwelemea ,option anayobak nayo ni kuuza mwili ,imagine mmefunga ndoa alafu mtu anauza mwili kienyejienyej ,inauma sana ,
 
Angekua ana lipua moja kabla ajaamka na kabla ajalala mbususu isingemuendesha
 
Kulala kwa mwanamke ambaye sio mkeo ni kujitafutia matatizo tu..
 
Wadad naona hawa comment ila tuwambie wadada kama hujamaliza kuruka ruka na unajijua huwez sema no usiolewe mana hakuna mwanaume mwenye wivu kwa mwanamke malaya we kaa kitaa kila mtu ajue malaya uone ka watu watachomana visu..
Lakin hii tabia ya kujifanya mke wa mtu kumbe maharage ya mbeya ndio inaleta misala mana mke anauma...
 
Miaka yenyewe 20,21,23 watoto wadogo, mapensi mapensi daah
 
Wadad naona hawa comment ila tuwambie wadada kama hujamaliza kuruka ruka na unajijua huwez sema no usiolewe mana hakuna mwanaume mwenye wivu kwa mwanamke malaya we kaa kitaa kila mtu ajue malaya uone ka watu watachomana visu..
Lakin hii tabia ya kujifanya mke wa mtu kumbe maharage ya mbeya ndio inaleta misala mana mke anauma...
Hawakuelewi ila Kwa Sasa ni mapambano kati ya wema na wabaya.

Wema wanaonewa sana na mijitu ya hovyo.
Dawa yao ni kutakatisha TU makoromeo yao mpaka wanyooke.
Wanawake ni wengi anayehitaji kuoa hata kumi hakuna mtu atakayemgusa lakini Vinginevyo miaka yao itakatishwa tuu na ni thawabu hata Kwa Mungu.
Mke atapewa Talaka lakini mwanaume aliyesababisha Talaka ni lazima alazwe mahali pema Peponi na wote waseme Amina.
Mungu aliweka amri inayokataza hata kumtamani mke wa jirani sio TU kuzini naye Bali kumtamani TU ni kosa.

Sasa sisi ni akina nani tumwache mzinifu akiwa hai.
 
Back
Top Bottom