Morogoro: Gari la Serikali limegonga na kuua mwanafunzi

Hili ndio tatizo la baadhi ya watu kuwa juu ya sheria.
Magari ya serikali na viongozi yangekuwa yanabanwa kama tunavyobanwa watu binafsi, madereva wao wangeheshimu sheria na ajali kama hiyo pengine isingetokea.
 
Hawa madereva wa serikali Huwa wanajiona sana wakiwa wanaendesha v8 za serikali na kutokuthamini watumiaji wengine wa barabara
 
Spidi zao ni Kali sana!
 
Pesa ya kununua magari pamoja na kuweka mafuta ni yako na bado wanakupitia
 
Kila siku najiuliza huwa magari STL na STM wanakimbilia wapi ? Mnahudumia wananchi ambao mnawaacha nyuma sasa mnawahi wapi ? Magari ywnu hayana bima mnalipaje mkisababisha ajali ?? Naimia sanaa huyo ni mtoto wangu wa form 1 umwmuua na kukimbia kweli ? Nitakufuata kwa njia yeyote ile damu yake juu yako sintakuacha .......ulaaniwe dereva na boss wake anaekupa kiburi cha kukimbiaa
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…