Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Wewe huelewi nini hapo kwenye hilo andiko??Kuonesha kuwa gari la serikali limegonga mtu ni uchadema!? Ni sehemu gani nimeona chuki ya kisiasa mkuu!? Umetazama video hiyo, je kuna mtu ametaja Chadema au CCM!??