Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TETESI :Habari za ndani ya system kuwa Waziri mkuu mpya anatokea jimbo la morogoro kusini simjui anaitwa Nani wala msiniulize Nani kaniambia. Subirini after two weeks
Msalieni mtume jamani, hivi mumeshawahi kufika vijiji vya wilaya ya Liwale ?????
Hapo ndiyo msalabani na hiyo ndiyo barabara kuu ya Morogoro vijijini. Bigwa - Kisaki katika ubora wake. Hiyo inayopinda kulia inaelekea kibungo juu na Tawa.Yani ukikuta lami ni
pale mlima ng'wale na na ile nyingine...karibia msalabani halafu ukiwa unaingia matombo...
Kwa mantiki haya Wapinzani hawakufanya kazi nzuri ya kuwaelimisha wananchi wa kule juu ya ubaya wa CCM. Katika maeneo amabayo wapinzani wanakubalika ni yale yenye maendeleo yaliyoletwa na CCM.Elimu imepelekwa kwenye maeneo hayo na CCM, miundo mbinu mingine kama vile barabara reli, maji na umeme katika maeneo wanayopendwa wapinzani imepelekwa na serikali ya CCM ila ndiyo kawaida usimwamshe aliyelala utalala wewe. Rasilmali zilizoendeleza maeneo mnayosema ni ya wapinzani ni za watanzania wote zingeweza kupelekwa kuendeleza Morogoro kusini lakini zikapelekwa maeneo mengine kwa kuwa watendaji wa serikali walikuwa wa maeneo yale. Maendeleo hayo hayakuletwa na wabunge wao.
Wapinzani hawajawahi kushika serikali hivyo siyo kweli kwamba penye maendeleo maendeleo pana wapinzani wapinzani. Maendeleo yana sababu nyingi ikiwemo miundo mbinu ambayo hujengwa na serikali, utamaduni wa wananchi kupenda kazi na mambo mengine mengi.
Inawezekana kwa kuwa huyu mbunge anaitwa Mbena yule aliyewahi kuwa katibu wa rais.
Jamani huku kuna umasikini.
Yani ukikuta lami ni
pale mlima ng'wale na na ile nyingine...karibia msalabani halafu ukiwa unaingia matombo...
Hujaeleweka brother umeandika sana lakini pointless
Poleni sana morogoro kusini .