Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hatuhitaji pole ni umasikini wa kujitakia mkuu. Watu wabishi na ccm yao
Hao waliobeba machela ni Morogoro vijijini hiyo hapo panaitwa Lanzi Mgonjwa amezidiwa huko hakunaga usafiri zaidi ya gari la padre au ave maria.
TETESI :Habari za ndani ya system kuwa Waziri mkuu mpya anatokea jimbo la morogoro kusini simjui anaitwa Nani wala msiniulize Nani kaniambia. Subirini after two weeks
Hao waliobeba machela ni Morogoro vijijini hiyo hapo panaitwa Lanzi Mgonjwa amezidiwa huko hakunaga usafiri zaidi ya gari la padre au ave maria.
Kwani na wewe ni wa huku mkuu!?
Hiyo wilaya ni hatari sana barabata zake kama unaingia mapangoni, nimeenda mpaki kisaki, huko serembala ni hatari Sana mkuu Tawa.
Kwani na wewe ni wa huku mkuu!?
Nmefanya kazi kituo cha afya mvuha, kisha dutumi. Ingawa kwa sasa nimehama wilaya hii kikazi ingawa bado naishi huku na familia yangu. Huku hali ni mbaya sana janani
Mbeya kuna afadhali kubwa jamani. Wilaya hii ni masikini mnoHapana , mimi natokea kijiji cha kajunjumele wilayani kyela mkoa wa mbeya , ila nimeona aibu kwa vile Tanzania ni moja .
Nafikiri kamanda tawa alimaanisha morogoro vijijini au jimbo la morogoro kusini.Mkuu hakuna wilaya ya Morogoro kusini
Nafikiri kamanda tawa alimaanisha morogoro vijijini au jimbo la morogoro kusini.
Chanzo kikuu cha maji ni MTU ruvu hatari sana kwa kweli Mh. Mbena ana kazi kubwa ya kufanya.
Kweli wewe kamanda ni wa huku hadi kitengu unakujua!!!?Baadhi ya vijiji vya ndani kabisa kama vile mrono, tawa, kibungo, lumba juu na lumba chini, msing'ini, konde, nyingwa, Lanzi, kitengu na vijiji vingine vina mito zaidi ya mitano kila kijiji ambayo humwaga maji katika mto mkubwa wa ruvu juu.
nililojifunza morogoro, ni kuwa uwajibikaji haupo, ile hali ya kuwa na wivu wa maendeleo haipo, ninayadhuhudia hayo kwenye sekta fulani ninayowajibika kama mtumishi wa umma, ushindani wa kuleta mafanikio katika jasmii haupo, ni jasmii pekee inayosubiri kusema asante kwa wanachopewa na wahisani,