TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,674
- 1,572
- Thread starter
- #81
Acha kudangaya watu wewe. hakuna wilaya ya Morogoro kusini. kimazingira nimeelewa unaongelea wapi. Huko barabara ni nzuri na inapitika mwaka mzima tokea Morogoro mjini mpaka Kisaki. na watu wana maisha ya kawaida kama watanzania wengine.
Mimi kama mtanzania ninajua maisha yetu ni magumu yamezungukwa na fursa nyingi ila tumetiwa upofu na watawala tusione. wanajamvi msinielewe vibaya. najua maisha ya watz yanafananafanana.
Kama hujui mazingira ya watu kaa kimya. Hebu nenda Lanzi kwa gari yako suzuki nini sijui ya mkopo kipindi hiki cha mvua, kama hujarudi na vyuma chakavu huko dar unakoishi.
Hiyo inayoenda kulia ndiyo inaelekea tawa na Lanzi ya kushoto inaelekea Mtamba mpaka Kisaki. Haya hata kama ni mjinga wa mwisho, hiyo barabara inapitika mwaka mzima?