Uchaguzi 2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

Mapolisi hayatumii akili, vichwani yamebebelea makamasi yenyewe yanafikri yamebeba ubongo!
 
Punguza jazba mkuu, mara 9 kati ya 10 sababu huwa wanapewa wakifika kituoni.
 
"Sababu za polisi kutamka kumkamata hazijulikana" halafu Heche anasema polisi wanataka kumunyanganya fomu za kugombea ubunge!

Poor idiot!
 
CHADEMA wanatengeza uwongo mwiingi ili angalau wapate kura za huruma.
 
Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Maarage yanaeuka rukaga hivyo hivyo kama wewe, lakini moto ukikolea yanatuliaga!
 
"Sababu za polisi kutamka kumkamata hazijulikana" halafu Heche anasema polisi wanataka kumunyanganya fomu za kugombea ubunge!

Poor idiot!
Polis walipaswa kutumia busara, wangeruhusu akabidhi fomu, baada ya hapo wamshikilie.Kwa hili siro atawajibika
 
Polisi wanatekeleza maagizo... Tume ipo kimya...

Mbowe kwa nn asitoe tamko au kujibu mashambulizi kimyakimya...
I wonder why. Sio Mbowe tu, hata ACT naona nao wameungana na walalamishi wengine kuhusu wagombea wao kupokonywa fomu ama kutekwa kule Lindi. Ila wamekaa kimya tu as if kinachotendeka ni haki. Zitto toeni tamko kuhusu uhuni huu unaoendelea nchini wa kupokonyana fomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…