pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Sitoshangaa kwa andiko hili kwani mna asili ya uendawazimu kwenye ukoo wenu.Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Mi nasemaga tupewe siraha tu, tuanze kunyoshana, hakuna cha kuvumialia tena!Wewe jamaa huwa nimjinga sana, hivi unajisikia ufahari gani raia wenzako wanapopokonywa haki zao kisa vyama? Hivi na nafsi yako inafarajika kabisa kusikia wenzako wanakamatwa ili wasirudishe form? Kiukweli huwa najiuliza Wana CCM niraia wanchi gani, inawezekana sio Tz yetu iliyojaa upendo wanaoishi hawa viumbe.
Keshauza Jimbo kwa Abood maana kaona hana uwezo wa kushindana na Abood
Mwenyekiti wa timu ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kwa tiketi ya CHADEMA na dereva wa mgombea Ubunge wa Morogoro mjini Bi Devotha Minja wamekamatwa na Polisi muda huu huku mgombea huyo akisakwa baada ya kuwatoroka polisi.
Inadaiwa gari yake pia imekamatwa na ilikuwa ni katika harakati za kumteka ili asirejeshe fomu ya ugombea leo.
Aidha sababu za waliokamatwa bado hazijawekwa wazi.
Maelezo haya ni kwa mujibu wa yeye Devotha Minja ambaye yupo mafichoni.
-----
Jeshi la Morogoro mjini, wamezingira ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Morogoro mjini, lengo likiwa nikumsubiri Devotha Minja wamkamate kabla ya kurudisha fomu, baada ya kupigwa simu na OCD akimtaka aripoti kituoni asubuhi hii.
Ila we jamaa..!Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Kuna nini mpaka uhangaike na mjinga?, inawezekana wote ni walewale!Maelezo ya kimbeya hayajitoshelezi wamekamatwa kwa sababu gani? Chadema mna uandishi Fulani hivi wa kipungufu akili mkiripoti kitu kiasi kuwa hata mjinga akisoma anaona wazi kuwa mleta mada kichwani Hana kitu
Andika vizuri sababu za kukamatwa na polisi ni nini
Kusoma hujui au? Umeshaambiwa aliambiwa alipoti asubuhi police na waliyokamatwa hawajaambiwa sababu ya kukamatwaMaelezo ya kimbeya hayajitoshelezi wamekamatwa kwa sababu gani? Chadema mna uandishi Fulani hivi wa kipungufu akili mkiripoti kitu kiasi kuwa hata mjinga akisoma anaona wazi kuwa mleta mada kichwani Hana kitu
Andika vizuri sababu za kukamatwa na polisi ni nini
Wewe jamaa huwa nimjinga sana, hivi unajisikia ufahari gani raia wenzako wanapopokonywa haki zao kisa vyama? Hivi na nafsi yako inafarajika kabisa kusikia wenzako wanakamatwa ili wasirudishe form? Kiukweli huwa najiuliza Wana CCM niraia wanchi gani, inawezekana sio Tz yetu iliyojaa upendo wanaoishi hawa viumbe.
[/QU
Achana naye huyo kichwani hamna kitu
Rusha ngumi au mnangojA mrushiwe ngumi na wabeligijiTutaheshimiana tukipigana
Mkuu watu wenye tabia za unyani huyajali matumbo yao yajazwe si kujali maslahi ya kitaifa wala ustawi wa ndugu na jirani zao...Wewe jamaa huwa nimjinga sana, hivi unajisikia ufahari gani raia wenzako wanapopokonywa haki zao kisa vyama? Hivi na nafsi yako inafarajika kabisa kusikia wenzako wanakamatwa ili wasirudishe form? Kiukweli huwa najiuliza Wana CCM niraia wanchi gani, inawezekana sio Tz yetu iliyojaa upendo wanaoishi hawa viumbe.
Huyu kapima maji kaona asidhalilike kwa kushindwa uchaguzi ndio maana kuchagua njia hii
Mwenyekiti wa timu ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kwa tiketi ya CHADEMA na dereva wa mgombea Ubunge wa Morogoro mjini Bi Devotha Minja wamekamatwa na Polisi muda huu huku mgombea huyo akisakwa baada ya kuwatoroka polisi.
Inadaiwa gari yake pia imekamatwa na ilikuwa ni katika harakati za kumteka ili asirejeshe fomu ya ugombea leo.
Aidha sababu za waliokamatwa bado hazijawekwa wazi.
Maelezo haya ni kwa mujibu wa yeye Devotha Minja ambaye yupo mafichoni.
-----
Jeshi la Morogoro mjini, wamezingira ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Morogoro mjini, lengo likiwa nikumsubiri Devotha Minja wamkamate kabla ya kurudisha fomu, baada ya kupigwa simu na OCD akimtaka aripoti kituoni asubuhi hii.
Haya ndiyo maajabu na Duniani kote wanashangaa hili inaelekea watanzania wamegundua miradi yote mikubwa ina ufisadi wa kutisha na wanufaika ni viongozi wa CCM ndiyo maana hawaitaki CCM chama cha kishetaniCCM kila kukicha mnajisifu mmenunua mandege na kujenga flyover sasa mbona mmepanic na kuanza kuhujumu wagombea wa upinzani???
Huu ujinga wa kutengeneza story za kifala kama hizi ndiyo umewafanya watanzania kuikataa CCM kwani wanaiona inafanya matukio kisha inajidai kuwasingizia kuwa ni chadema wenyewe, mbinu na propaganda za 1921 ujinga wa kizamani sana huu, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atakaa kuamini huo ujinga wenu zaidi ya vilaza wachache wanaofugwa huko ccm na kule cuf Tawi la CCM.Mnajiteka halafu mnasingizia , punguzeni vitimbwi bwana uchaguzi uishe maisha yaendelee, mnatuchosha sana na utapeli wenu wa kisingizia uongo ili mtutoe kwenye amani.