Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Halafu watu ambao kufanikiwa kwao ni mashaka kwa kuungaunga huwa ni shida sana.
Yaani sijui ni hata ni Kwanini huwa inakuwaga hivyo.
Yaani sijui ni hata ni Kwanini huwa inakuwaga hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkataba ukivunjwa hata kwa sms lazima kutakuwa na sababu za msingi zitakazomlazimisha mwenye nyumba kufanya hivyo! Hata hivyo mpangaji anatakiwa kupewa notisi ya mwezi mmoja ili ahame ! Akıkalidi notisi matokeo ndio hayo.Umesoma wapi kuwa mkataba umeisha?
Mwenye nyumba amevunja mkataba kwa sms
Usibadili mada.Unawazungumziaje hili la Padre na Kibao
Padre Dkt. Kitima: Aliyemuua Kibao tunamlaani, amefanya kosa baya, ni chukizo kwa Mungu
Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu. Pia, Soma: Dar: Ali...www.jamiiforums.com
Naona kondoo anamfanyizia kondoo mwenzake.Aliyeharibu ubongo wa waafrika kwa kisingizio cha dini apewe tuzo huko aliko. Hakuna kitu kinaudhi kama unapoona watu wanashindwa kutumia ubongo wao kuchanganua mambo kwa kivuli cha dini. Huyu Mungu atapata taabu sana kutuhukumu kama kweli hiyo siku ipo
Iyo adhabu aliyotoa ya kufanya false imprisonment ndo kaharibu hapo ndo shdaNa mwenye nyumba angepata tatizo la kiafya na anategemea hela ya Kodi akapate matibabu ingekuwaje?
Aende kwenye Baraza la ardhi la kata au wilaya ndo watoe amri ya kuondolewa ,nashangaa huyo wakili aliye mshaur alisoma chuo Burundi au somalia?Mfano mpangaji halipi kodi, kistaarabu mwenye nyumba anatakiwa kufanya nini? Remember nyumba ni biashara
Nyumba YENYWE huna iyo risas utamchapaje ?Tena ukikutana na mmiliki kichaa kama Mimi ninakuchapa risas... Live.
Kimbembe ukitaka kuhama ghafla utaona huo usumbufu wake. Chukulia umelipa kodi ya mwaka after 2 months umepata uhamisho, unadai miezi 10. Utafurahia na roho yako hizo subiri subiri za mwenye nyumba. Atakulazimisha usubirie hadi apate mpangaji mwengine ndio arudishe hela na wengine kwa hasira anaweza asikupe miezi yote akisingizia ni umekatisha mkataba na blaa blaa zingine 🤣🤣🤣Bongo sekta ya upangishaji nyumba imekaa kiduwanzi sana, mtu anataka malipo ya miezi sita wakati wafanyakazi karibia wote wanalipwa kwa mwezi, wiki au siku! Ni uhovyo tu ila ndio sekta huria hii kila mtu anafanya anavyoona inamfaa na mali yake.
Mwenyekiti wa mtaa tu anatakiwa awe na taarifa kabla ya yote juu ya notisi ya kumuondoa mpangaji ambaye ni msumbufu.Aende kwenye Baraza la ardhi la kata au wilaya ndo watoe amri ya kuondolewa ,nashangaa huyo wakili aliye mshaur alisoma chuo Burundi au somalia?
Mkuu upo sawa, masuala/Biashara ya upangaji nchini inaongozwa na sheria ya upangaji.Lazima mwenye nyumba akupe muda wa kujipanga na kutafuta nyumba nyingine(notice), tusiendekeze ujinga wa wenye nyumba kuendesha nyumba zao kiswahili swahili.
Kwa maelezo ya balozi huyu mama mwenye nyumba anaonekana ni mkorofi sana.Wakuu, huu ni Uungwana kweli?
Huko Marogoro mwenye nyumba kamfungia ndani saa 27 mpangaji kisa amekiuka notisi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mmiliki wa nyumba Plot namba 149 BLOCK ‘A’ Kihonda Kilimanjaro, Dk. Lusako Mwakiruma ilioyopo Mtaa wa Kilimanjaro Manispaa ya Morogoro, amemfungia ndani mpangaji wake kwa saa 27 kisha kumtolea vitu vyake nje, kwa madai kuwa mpangaji huyo, Paschal Paulo alishindwa kupokea notisi ya kumtaka ahame kwenye nyumba hiyo ndani ya mwezi mmoja.
Mkuu, madam makubaliano yakiwepo utaratibu ni kufuata sheria.Sidhani kama issue iko hivyo.
Mpangaji kama halipi kodi ndani ya muda mliokubaliana kwenye Mkataba na haoneshi dalili za kulipai.e. anapiga chenga - muongo-muongo e.g. Hapokei cm, hajibu msg, dharura haziishi, visingizio vya ugonjwa au ukienda hapo kwenye nyumba humkuti, ukimtafuta muonane ana kwa ana (physicaly) anakukwepa n.k. Je, mtu msumbufu wa namna hiyo unamfanyaje?? Au labda tuseme Wenye nyumba za kupanga (Land lords)huwaga hawana Hasira? i.e. unaweza kumkoroga,kumzingua kwa vitimbi vyako halafu unategemea yy atakuchekea tuu??
Mkuu hapo ndio unatakiwa kutumia sheria sio ubabe!!!Ila wapangaji wengine wajuaji sana
🤣🤣🤣Mama wa kinyakyusa anamiliki nyumba Kihonda !
Utamtaka 🤣🤣
🙋♂️🎯👍👌👏🤝🙏🎖️Doh waswahili mnapenda kutumia mihemko aiseeee!
Mwenye nyumba hajasema kama anamdai jamaa kodi,bali alisema anataka abadili matumizi ya nyumba.
Mpangaji pia hakusema kama ameshindwa kulipa kodi,bali alidai mwenye nyumba alitaka kuibadili nyumba ama kuikarabati.
Sasa madai yenu ya kusema kuwa mpangaji mkorofi hakulipa kodi na aondoke mnayatoa wapi!??
Halafu mwenye nyumba bwege kweli,kuna notice gani ya SMS tena unamtumia mtu muda huo huo na unaenda kumtimua muda huo huo!??
Hata balozi anadai huyo mwenye nyumba hakuwa na barua yeyote ya kuhalalisha alichofanya.
Still mnamtetea mwenye nyumba!??
Waswahili banaaa!!
Mie ningekua ni jamaa namuanzishia kesi ikiwemo ya upotevu wa mali.
Tena kitendo cha kumfungia mtu ndani namfungulia kesi ya attempt murder case.
Pumbafu kabisa.
Je kama moto ungezuka ghafla humo ndani jamaa angenusurika vipi!?
Kumbe mijitu ya Mbeya ni mapang'ang'a hivi!?
Mkuu sheria ya upangaji haielekezi hatua za aina hiyo. Kasome ile sheria vizuri. Usiwapoteze wenye nyumba!!!Mkataba ukivunjwa hata kwa sms lazima kutakuwa na sababu za msingi zitakazomlazimisha mwenye nyumba kufanya hivyo! Hata hivyo mpangaji anatakiwa kupewa notisi ya mwezi mmoja ili ahame ! Akıkalidi notisi matokeo ndio hayo.
Sema kiuhalisia usithubutu ukapanga nyumba mwenye nyumba mwanamke umeula wa chuya.🙋♂️🎯👍👌👏🤝🙏🎖️
Hujiamini!Angekuwa Salum au Asha kafanya hivyo, tungeipata Waislam wote humu JF na Tanzania nzima.
Lakini kwa kuwa kafanya kondoo mwenzao wa kilimanjaro, wote kimyaa.
Mkuu ni tabia ya mtu, stress, kutojiamini na uelewa mdogo tu.Sema kiuhalisia usithubutu ukapanga nyumba mwenye nyumba mwanamke umeula wa chuya.
Hata mamaangu mzazi ni mwenye nyumba ila naona balaa wanalopata wapangaji wake.
Sasa sijui hii kijinsia imekaaje?