Morogoro: Mpangaji afungiwa ndani Saa 27 na Mmiliki wa nyumba kwa madai ya kukiuka Notisi ya kuhama

Morogoro: Mpangaji afungiwa ndani Saa 27 na Mmiliki wa nyumba kwa madai ya kukiuka Notisi ya kuhama

Tambua, mimi ni tukio lingine sio Morogoro alikofungiwa huyo kamanda, ila ni kweli, mpangaji wangu nilimruhusu andoke na deni la miezi mitatu na bill ya maji ya miezi 6, KIROHO safi, sijui balozi, au mashahidi sikutaka.
Huo kwa kweli ulikuwa ni uamuzi wa busara na wa kijasiri kwa sababu hata leo hii huyo mwamba aliyeondoka na hizo "hela za kunyonga" hanazo tena zimeisha. Kongole mkuu.
 
Ipo.siku ataambiwa huyo mwenye nyumba kapoteza kitu cha thamani cha mpangaji wake.
 
Yan umeshindwaje kuielewa hoja yangu? Hoja ni kwamba mpangaji hawezi kufanya maamuzi ya ni lini alipe na ni kwa namna gani malipo hayo yatakuwa.
Halafu inakuwa mkuu; Yan Tatizo lilikuwa linasubiri ili lijitokeze wakati mpangaji anapotakiwa alipe kodi?? Kiustaarabu hatukatai tatizo linaweza kujitokeza; lakini Mlipaji/Mpngaji katika hali ya kawaida huenda kumwona mwenye nyumba na kujieleza na sio kumkwepa au kufanya uhuni. Kwani huyo Mpangaji hana namna au vyanzo vingine vya kupata fedha ili akalipe kodi??
Ukiona wewe mpangaji umebanwa sana kifedha ni vyema ukajinyenyekesha kwa mwenye nyumba hata kama itakubidi uweke rehani baadhi ya vitu vyako ili uendelee kujiaminisha na kusubiriwa hali iwe nzuri.
Sijui umeishi nyumba za kupanga ngapi kwa muda gani?
Watu wa kipato cha kawaida na chini wanazijua kero za wenye nyumba watata.

Shida haichagui muda wala kupiga hodi, au kukupa muda wa kujiandaa unakosea unaposema "Tatizo lilikuwa linasubiri ili lijitokeze wakati mpangaji anapotakiwa alipe kodi??"
Hapo umeongea kama mtoto ambaye hajaanza kujitegemea au kutegemewa na familia.
Huenda umezaliwa na kulelewa katika familia ya kitajiri.
Una uhakika gani kama yule mpangaji hakunyenyekea, hakuomba na kukataliwa ombi lake?

BTW, nimeishi nyumba za kupanga kadhaa, sasa naishi kwangu. Najua shida za kupanga.
 
Hahahaha kweli kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angekuwa Salum au Asha kafanya hivyo, tungeipata Waislam wote humu JF na Tanzania nzima.

Lakini kwa kuwa kafanya kondoo mwenzao wa kilimanjaro, wote kimyaa.
 
Kwenye biashara ya nyumba za kupangisha, mara nyingi wenye nyumba ndio wanyonge.
wapangaji ndio wenye nguvu, na sheria zote wanazijua.!

Kuna wenye nyumba kwenye malipo ya kodi lazima ulipe kabisa pesa itakayokua dhamana yako.
Hutaki, lala mbele.
 
Angekuwa Salum au Asha kafanya hivyo, tungeipata Waislam wote humu JF na Tanzania nzima.

Lakini kwa kuwa kafanya kondoo mwenzao wa kilimanjaro, wote kimyaa.
Aliyeharibu ubongo wa waafrika kwa kisingizio cha dini apewe tuzo huko aliko. Hakuna kitu kinaudhi kama unapoona watu wanashindwa kutumia ubongo wao kuchanganua mambo kwa kivuli cha dini. Huyu Mungu atapata taabu sana kutuhukumu kama kweli hiyo siku ipo
 
Angekuwa Salum au Asha kafanya hivyo, tungeipata Waislam wote humu JF na Tanzania nzima.

Lakini kwa kuwa kafanya kondoo mwenzao wa kilimanjaro, wote kimyaa.

Yanga angemfunga tabora habari isingekua kubwa maana ni kawaida ila imekua gumzo YANGA kufungwa maana si kawaida.
 
Hata hv huyo maza hausi ni anahuruma sana

Ilitakiwa amtwange hata na mti ndo amfungie akome ubishi.
 
Lakini kwa kuwa kafanya kondoo mwenzao wa kilimanjaro, wote kimyaa.
Unawazungumziaje hili la Padre na Kibao
 
Alikuwaga secretary sa IDM Mzumbe Eti kuna mtu Kasema siku hizi ni Lecturer ??
Sijui anatania ?!
Kutoka u-secretary hadi u -lecturer si atakuwa ameungaunga kwa sana ?!
Halafu ndio mtu kama hiyo darasani ukiwa curious anakuwekea bifu anakuchukia ,
Hawatakagi kuulizwa maswali sababu hawajiamini ni dhaifu wanaona ustawachoresha udhaifu wao Sababu kichwani weupe peee ?!
Bongo bahati nzuri.
 
Back
Top Bottom