Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Huo kwa kweli ulikuwa ni uamuzi wa busara na wa kijasiri kwa sababu hata leo hii huyo mwamba aliyeondoka na hizo "hela za kunyonga" hanazo tena zimeisha. Kongole mkuu.Tambua, mimi ni tukio lingine sio Morogoro alikofungiwa huyo kamanda, ila ni kweli, mpangaji wangu nilimruhusu andoke na deni la miezi mitatu na bill ya maji ya miezi 6, KIROHO safi, sijui balozi, au mashahidi sikutaka.