Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Ukitaka uhuru wa kuongea, ongea vitu vyenye msingi, vya kujenga na kushauri pasipo matusi nafikiri ukifanya hvyo unaweza usiwe na matatzo na upande wowot ila ukitoa matusi kama naye wajinga wenzake ndio wataropoka kudai uhuru
 
"AMEONGEA LILILOPO NA NI WIMBO WA WATANZANIA WOTE"
SIONI KOSA LAKE,LAKINI KATIKA NCHI ONEVU KAMA HII ATAPATA TABU"
SIONI KOSA LAKE
SIONI KOSA LAKE
SIONI KOSA LAKE
•AMEIMBA KILIO KILICHOPO MITAANI
 
"AMEONGEA LILILOPO NA NI WIMBO WA WATANZANIA WOTE"
SIONI KOSA LAKE,LAKINI KATIKA NCHI ONEVU KAMA HII ATAPATA TABU"
SIONI KOSA LAKE
SIONI KOSA LAKE
SIONI KOSA LAKE
•AMEIMBA KILIO KILICHOPI MITAANI
Yea ni kweli

Lakini tatizo ni kwamba
atakula jeuri yake.

Ney mi sio kosa lolote kwenye huu wimbo
 
Nachojua wanamtisha tu akipelekwa mahakamani anawashinda tu unless Bashite mazero ajitokeze na aseme yeye ndio Paul Makonda.
 
"AMEONGEA LILILOPO NA NI WIMBO WA WATANZANIA WOTE"
SIONI KOSA LAKE,LAKINI KATIKA NCHI ONEVU KAMA HII ATAPATA TABU"
SIONI KOSA LAKE
SIONI KOSA LAKE
SIONI KOSA LAKE
•AMEIMBA KILIO KILICHOPO MITAANI
Sukari imepanda bei au????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…