Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Katukana wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Yule yule aliye mpa ruhusa mtu asiyejulikana kumuonesha kitambulisho NapeBaraza la sanaa la taifa ndilo linawajibu wa kushughulika na kazi za sanaa na wasanii ikiwemo content ya kazi zao
Msanii akitoa kazi inayokuwa na content isiyo na maadili au isiyokubalika na jamii ya watanzani, ni BASATA ndio wanatakiwa kushughulika na msanii husika hata kumpatia adhabu inayostahili ikiwepo kuifungia kazi husika na msanii mwenyewe
hii ni tofauti kwa Nay wa Mitego!
kwa nini Amekamatwa na polisi ilhali BASATA ipo?
hapa jeshi limeingilia majukumu ya Basata!
ni nani katoa order ya Nay kukamatwa bila ya Basata?
Duuh mkuu nimebaki nacheka tu.[emoji12][emoji12][emoji12]
Jk hakutuelewa! Tulipotaka Rais Kama Kagame tulimaanisha Mrefu na Mwembamba tu na si vinginevyo!
Pointkweli bhana ule wimbo una matusi sana...ila kwa wale wanaoshabikia upande mwingine wa shilingi hawataona matusi
Sizonje ameusikiliza?Wimbo ushasikika. Ujumbe ushafika
Kamtukana nani!?Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Unakerwa na upande mmoja wa shilingi?Chanzo cha haya in nini?Weshaona fashion sikuizi kutukana, wameharibu jf sikuhizi nayo hovyo tu, huyo wanayemuiga yuko States na hawezi kanyaga Tz, muda si mrefu jf tunaipoteza maana naona hata mods ni kama wanatumika.
Msanii wa kizazi kipya Emanuel Elibarik alimaarufu kama NEY wa mitego amekamatwa asubuhi hii huko morogoro
View attachment 486993
Sehemu ya wimbo wa Ney wa Mitego:
=======
Hivi Uhuru wa Kuongea bado upo? Siamini nchi inaendeshwa kwa kiki!
Nasikia kuna viongozi wamefoji vyeti? Wapooo! Mheshimiwa hivi unamjua Bashite kutoka Kolomije? We si Dokta wa kutumbua majipu?
We mtu gani sasa? Hutaki kushauriwa, hutaki kukosolewa? ...Naona kichaa kapewa rungu! Hahahaha
Kamtukana nani?Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Mleta mada hana uelewa huo.Mfano nitunge nyimbo kuhamasisha mapinduzi au ugaidi
Au mauaji kwhiyo unataka polisi wasiingilie kisa wao sio basata
Sijazungumzia Ney hapa ila nakuonyesha taswira ,polisi wanayo haki ,mbona akina sheikh ponda wakikamatwa na polisi kwahiyo Polisi waliingikia kazi ya bakwata
Hujajibi swali kamtukana nani?Weshaona fashion sikuizi kutukana, wameharibu jf sikuhizi nayo hovyo tu, huyo wanayemuiga yuko States na hawezi kanyaga Tz, muda si mrefu jf tunaipoteza maana naona hata mods ni kama wanatumika.
Kisa cha kukamatwa ni nini?
Kamkashifu VP?Wimbo wake wa kumkashifu mtukufu rais unaitwa "wapo"
Jibu murua hili mtu mwingine angeweza kutoa povu na pengine kuyakana maandiko yake ila swali limejibiwa kwa hoja iliyoshiba na wengi wetu hushindwa jambo hili mtu kajikita penye kuponda tu au kusifia tu. Hongera ndugu kwa kuweka rekodi sawa .Tafuta Comments za Tangu anaingia na kuanza sakata la Sukari nilimpinga lakini haikunizuia kumuunga Mkono anapopatia!
Hata Kesho akipata kwny Jambo lolote sitosita kumuunga Mkono!
Sina utaratibu wa kumuunga Mkono Mtu kwa kila Jambo Kama ambavyo sina kawaida ya kumkosoa Mtu kwa kila Jambo!
Hata Lowassa huwa namuunga Mkono sana Mtu , mfano alipoweka Siasa pembeni na kuhudhuria Golden Jubilee ya Mkapa ya kutimiza Miaka 50 ya ndoa
Respect is earned ,haitafutwi"Eti nawapenda sana" huwezi tafta kiki kwa magu ,yeye anatafta respect alaf wewe unatafta kiki.