Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Wewe unazungumzia idadi au variety?.... hali ya mkoa kuwa na wageni wengi inakuwa reflected kwenye uchumi wake, uchumi mkubwa unavutia wageni wengi Morogoro haina lolote kulinganisha na Arusha au Mwanza
Kabisa mkuu. Kwanza mkoa wakishamba, mkoa hauna ata pisi kali bwana 🤣🤣🤣🤣

Moro ukiona pisi kali ujue imekuja one time tuu
 
Ongezea
Watu wake hupenda burudani kuliko kazi, wapo radhi wawekee dhamana nyumba ilimradi tu amcheze mwanae wa kike
 
Kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukosekana kwa picha kunafanya bandiko lako kuwa haramu
 
Morogoro Drone Shot.

Morogoro Ni pazuri kuishi kwa watu wasio na taaluma yoyote na wanaopenda kujihusisha na shughuli mbalimbali za Kilimo Kama Mpunga na bustani.

In short, chakula siyo tatizo kubwa Morogoro.

Ila kwa vitu vingine, Ni NO.

Umefanya vizuri Sana mkuu
 
Morogoro Drone Shot.

Morogoro Ni pazuri kuishi kwa watu wasio na taaluma yoyote na wanaopenda kujihusisha na shughuli mbalimbali za Kilimo Kama Mpunga na bustani.

In short, chakula siyo tatizo kubwa Morogoro.

Ila kwa vitu vingine, Ni NO.

Morogoro kuna shughuli zaidi ya kilimo.
 
Uko sahihi kabisa. Hayati Mbaraka Mwinshehe Mwaruka alililiona hilo pia na akatunga na wimbo kusifia mkoa huo. Kimsingi wimbo huo ndio ulionivutia hata mie nikaweka ngome yangu hapo. Na siku ya sensa nitaamkia hapo kama mkuu wa kaya kujibu dodoso za wazee wa takwimu.
 
Morogoro hivi sasa inakaliwa na nusu ya wasukuma hasa maeneo ya mbingu kule kwenye mashamba ya mpunga ni pazuri sema vumbi yakubidi kila siku unywe maziwa napo malinyi,mngeta,na mlimba pazuri sana mchele wa kutosha vyakula kwa wingi
 
Morogoro Drone Shot.

Morogoro Ni pazuri kuishi kwa watu wasio na taaluma yoyote na wanaopenda kujihusisha na shughuli mbalimbali za Kilimo Kama Mpunga na bustani.

In short, chakula siyo tatizo kubwa Morogoro.

Ila kwa vitu vingine, Ni NO.

Of course ni Mji mzuri na unastahili hadhi ya Jiji Kwa Vigezo vya Tanzania.
 
Hawa ndiyo viongozi wa Morogoro, wamefuta stand ya daladala katikati ya mji na kuipeleka porini ambako nako wameshindwa kuitumia wamerudi katikati ya mji na kugeuza barabara stand na stand kuwa sehemu ya kuuza dawa za nguvu za kiume, kwakweli viongozi wa mji mna akili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mji mgunu sana huu hata wenyeji hatuelewi mantiki ya kuhamisha Stendi ile na kuipeleka porini huko ambapo na penyewe wamasai wamepageuzia mnada wa kuuza mbuzi na kondoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…