Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Forest hills Morogoro ndio eneo napenda kuishi zaidi ya Newyork uingereza...
 
Nimekaa Morogoro takriban miaka 6 ni pazuri sana,ingawa tu kuna maeneo mengi yana udongo mwekundu pale mjini huwa yananiondolea mood niwe mkweli...
 
Basi za Lindi Dar,Mtwara Dar,Tunduru Dar zinapita MOROGORO?
Tanga Dar,Arusha Dar, Moshi Dar nazo hizi zinapita Morogoro?
Je ukitaka kwenda Msumbuji kutoka Dar unapitia Morogoro?
 
Ningetamani morogoro iwe kama uswiss

Uwe na siasa zake.
Serikali yake.
Sheria zake.
Ukiingia uwe na viza 🍿
Upewe special Grant na serikali
Uwe mkoa wa mfano.
Iwe kama Brunei.
Kwa ifupi isiwe sehemu ya Tanzania.

au basi acha tu
 
Moro za hovyo sana halafu watu wake wafupi na wamedumaa kiakili
 
Pia Morogoro hakuna kitoweo zaidi ya nyama nyekundu. Wanaokimbilia Morogoro ni waoga wa maisha. Lile bwawa la mindu ni janga la kitaifa. Morogoro pa hovyo sana.
Ule mkoa wange uplan kama dodoma,ungekuwq kama Johannesburg
 
Hebu subirin Kwanza. Mnazungumzia mkoa wa Morogoro au mji wa Morogoro?

Kwangu mim sehem Bora zaidi kuishi hapa nchini Wilaya ya Geita.
Kwa miji basi namba moja ni Iringa
 
Ninachokupendea wewe jamaa huwa unatoa mchanganuo wa kutosha hata mwenye kichwa kigumu kuelewa atakuelewa tu labda aamue kukupinga
 
Ulempango wa kuipa moro hadhi ya city umefikia wap?
bado sana, mji hauja kaa poa huo. kwa chambo, nanenane kihonda sua kingulwila mlali bigwa mjini..mji umeisha mkuu. ni mji wa starehe tu huo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…