Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Pia baadhi ya maeneo hasa kwanzia kilombero mpaka ifakara ni maeneo mazuri sana kwa sisi tunayo anza maisha ..... BINAFSI NIMEPENDA SANA MKOA WA MORO
umesahau ifakara ndio wila inayo ongoza kwa vigodolo kuliko zote tanzania na uzinzi pia
 
Mkuu hilo vumbi jekundu la moro hulioni
Siwezi kuishi sehemu yenye vumbi dongo jekundu hata kama ingekuwa ni miji ina miti ya kumwaga pesa ,sijui kuhusu morogoro maana napitaga tu ila kigoma, na sehemu moja inaitwa Nachingwea ni sehemu nilizolishuhudia hilo dongo jekundu ,sitothubutu kuweka makazi.
 
 
Back
Top Bottom