Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Kwanini SUA ilijengwa pale wakaacha Big 4?Ukitaja morogoro kichwani inakuja na image ya watu wana Kipindupindu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini SUA ilijengwa pale wakaacha Big 4?Ukitaja morogoro kichwani inakuja na image ya watu wana Kipindupindu
umesahau ifakara ndio wila inayo ongoza kwa vigodolo kuliko zote tanzania na uzinzi piaPia baadhi ya maeneo hasa kwanzia kilombero mpaka ifakara ni maeneo mazuri sana kwa sisi tunayo anza maisha ..... BINAFSI NIMEPENDA SANA MKOA WA MORO
kilosa wapo warugulu wadamba wapogoro nk waarabu sija waona[emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto wa kikaguru
Na waarabu wa Kukosa[emoji2][emoji2]
Pia wapo Wasukuma, Wamaasai, Wamang'ati, Wambulu, Wagogo na Wabarbeig.kilosa wapo warugulu wadamba wapogoro nk waarabu sija waona
Wapambanie vigezotu,vikitimia au vikikalibia kutimia,watapewa wote.Moro wakipewa jiji Iringa nao watadai.
Siwezi kuishi sehemu yenye vumbi dongo jekundu hata kama ingekuwa ni miji ina miti ya kumwaga pesa ,sijui kuhusu morogoro maana napitaga tu ila kigoma, na sehemu moja inaitwa Nachingwea ni sehemu nilizolishuhudia hilo dongo jekundu ,sitothubutu kuweka makazi.Mkuu hilo vumbi jekundu la moro hulioni
Mji umejaa udongo mwekundu acha ubishiUmekata mkuu au umeadisiwa maeneo yenye udongo mwekundu ni machache sna
Imekosa vigezo hasa mapatoUlempango wa kuipa moro hadhi ya city umefikia wap?
Ifakara sio wilayaumesahau ifakara ndio wila inayo ongoza kwa vigodolo kuliko zote tanzania na uzinzi pia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]To be honest morogoro pakijinga sana
panaonekana stendi tuMji umekaa kwa mafungu mafungu. Sijui kwanini?
Ushammba mkoa wa kijeshi ungekuwa kigoma,Kagera na mtwaraNi mkoa wa kijeshi kwa ajili ya mikakati ya kiulinzi.