Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Nakubaliana na wewe 100%
 
Naomba uongee na upande wa changamoto za huo mkoa.

Karibu mwanza.

#MaendeleoHayanaChama
Tatizo kubwa ni 70%of its land ni poli, kutoka morogoro mjini mpaka malinyi ni distance kubwa, it is mountainous landscape with poor infrastructure, one among the largest regions in Yanganyika!
 
Sijawahi kupapenda
 
tatizo Moro ni karibu na dar na dom incase of anaything but mbeya ni karibu na makambako na zambia
 
Ningetamani morogoro iwe kama uswiss

Uwe na siasa zake.
Serikali yake.
Sheria zake.
Ukiingia uwe na viza [emoji897]
Upewe special Grant na serikali
Uwe mkoa wa mfano.
Iwe kama Brunei.
Kwa ifupi isiwe sehemu ya Tanzania.

au basi acha tu
Ungekaa Lushoto sijui ungesemaje? Hadi Big Ben alikana Lupaso.

Vipi Rungwe umewahifika? Utasema uko Eden.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ