Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Aliekwambia mapato ndo jiji nani acha ushmba wew shinyanga ina mapato kiasi gan na kama jiji la tanga lina mapato haya ya leo jiulize wkt linapewa hadhi ya jiji lilikuwa na mapato kiasi gan mbk kupewa hadhi ya jiji
Mapato ni factor kubwa acha ubishi ,jiji linapaswa kujitegemea kwa asilimia nyingi sasa kama mapato madogo mtajitegemea vp
 
Hapo kwenye ukarimu na kitendo cha kugawa ardhi kwa watu sio kama niwavivu hawataki kufanya kazi?

Utatoaje ardhi kwa asilimia kubwa uwape wageni? Hawapo seriouskwenye uzalishaji
 
Mji hauna uwanja wa ndege hv mnajua maana ya jiji kigezo kimoja wapo ni kukizi miundombinu ya ardhi,anga na majini kama vyanzo vipo sasa mtu yupo musoma itamlazimu kupanda basi tu mbk afike moro
Kutokuwa na uwanja wa ndege hiyo sio bahati mbaya ila ina maana yake,Ndio maana ndege za abiria haziruhusiwi kupita anga la morogoro.
 
Nadhani Tanzania kwa ujumla ukiondoa mikoa kama Singida na kidogo Kigoma, iliyobaki ina vivutio vyake. Kwa kutufahamisha vizuri, lau ungeweka takwimu za kitafiti kwa mikoa yote lau tuamua kitaalam. Kwa tuliwahi kutembelea Tanzania zaidi ya mikoa asilimia sabini, Morogoro ni mzuri ndiyo lakini ipo mingine kama vile Tanga hasa Lushoto, Arusha, Mbeya, Mwanza, Songea, Kagera hata Geita ni mizuri kwa kipato na mazingira yake.
 
Nimeishi Morogoro kiukweli mazingira ni mazuri sana maeneo kama ifakara,mlimba,mngeta,matombo ni mazuri lakini kwa unafuu wa maisha Mbeya ni rahisi kuliko Moro kwa upande wangu,pale Morogoro Mjini maeneo ya nane nane maji ni shida sana ,lakini mkoa wa Mbeya madhari yake ni mazuri sana maeneo ya Ringer,Kiwira kule ziwa Ngosi ni kuzuri kiukweli pia upatikanaji wa vyakula,maji na huduma nyingne ni kwa bei nafuu.Mkoa ambao mimi nimeishi na maisha ni magumu ni Singida,Ingawa Singida kuna warembo wa Kinyaturu ni pisi hatari
 
 
Mapato ni factor kubwa acha ubishi ,jiji linapaswa kujitegemea kwa asilimia nyingi sasa kama mapato madogo mtajitegemea vp
Wkt tanga au mbeya yanakuwa majiji yalikuwa na mapato kiasi gan alaf fananisha na mapato ta kahama ambayo sio manispaa ndo utapata jibu ndo maana vgezo vyote inbd uwe navyo mapato (mzunguko wa Hela) miundombinu huduma za jamii na watu kikikosekana kimoja basi huwez kuwa jiji
 


@Robert Heriel Mtibeli Shukurani sana,

Vipi kwa mtu ambaye ni mfugaji wa mifugo na ni mkulima kwa Morogoro ni wilaya ipi inafaa kuishi mtu wa namna hii?
 
wadada wanalika kiurahisi mambo ya nikajifikirie wengine hatujazoea naupenda Singida, na Mtwara kwa hiyo Mambo
 
Itakuwa wewe huijui Morogoro...Wilaya nyingi za morogoro hazina barabara za uhakika yani lami.....ushafika ifakara..Mahenge...malinyi....mlimba? Kuna vumbi na joto la hatari. Huo utafiti wako itakuwa umeufanya kwa apo mjini
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…