Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Morogoro ndio gateway place nikichoka na mihangaiko ya dar, sometimes naamua tu natoka dar asubuhi nafika asubuhi Moro, nakula na kunywa naweza nikalala au nakrudi usiku kuja dar na nakua nine enjoy sana. It's a blessed city
Hata bila mama watoto kujua
 
Pia ndiyo mkoa pekee ambao watu wake wanadanganyika kirahsi mno, maji ni changamoto kubwa aeneo mengi ya mji, Kasanga, Lukobe, Lukuyu, Mkundi, Makunganya, Kihonda, Azimio, Kitungwa Tubuyu, Nanenane, n.k huko kote hakuna maji!
Yanatoka nyumbani kwa RC, DC, Mbunge ila madiwani hawana maji
 
Nakubali...my dream place to live. Napapenda sana
 
Ngoja niweke siti huku nikila vumbi langu hapa dom, kiroho safi.
 
Sawa mkude lakini mji wenu siusomi unazidiwa hata na udom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…