Morogoro: Polisi wazuia Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

Twende na Mama kama tulivyokubaliana tukiona kama anazingua vile tunamkumbusha, kwasasa mimi bado namuunga mkono.
Utakwenda naye hadi wapi mkuu, 'Imhotep'?
Hata akikupotezea kichakani bado utakwenda naye, huku yeye akichanja mbuga?

Ni wakati mwafaka sasa 'for CHADEMA to call her bluff'.
 
Utakwenda naye hadi wapi mkuu, 'Imhotep'?
Hata akikupotezea kichakani bado utakwenda naye, huku yeye akichanja mbuga?

Ni wakati mwafaka sasa 'for CHADEMA to call her bluff'.
Kwasababu tumechoshwa na yule Ibilisi wa Awamu ya tano tukusanye nguvu kwanza huku tunamsikiza Mazee.

Tukiona hakieleweki ndio tuangushe jumba bovu.
 
Hawa watu bhana wao wanafungua miradi na kuitangaza lakini bado wana hofu kama wanafanya vizuri kwa nini wanaendelea kuwa na Hofu wakati Wansnchi wanawaamini...

Hawako madarakani kwa ridhaa ya umma, hivyo wanajua wenye ridhaa wakajitokeza wao wanakosa wa kuwasikiliza. Magufuli aliijua vizuri ushawishi na nguvu ya CDM, ndio maana akakimbilia kupiga marufuku mikutano ya kisiasa.
 
Kwasababu tumechoshwa na yule Ibilisi wa Awamu ya tano tukusanye nguvu kwanza huku tunamsikiza Mazee.

Tukiona hakieleweki ndio tuangushe jumba bovu.
Utasubiri sana.
Kwa hili ninakuhakikishia hupati kitu chini ya CCM.

Usimtegemee Samia kukupa tofauti na huyo Mwendazake.

Tofauti pekee iliyopo kati yao ni njia tu zinazotumiwa. Chini ya Samia CHADEMA itapozwa na ahadi, huku matokeo yakiwa ni yaleyale.
In fact, matokeo kwa chama yanaweza kuwa mabaya zaidi ya yale yaliyopatikana chini ya Mwenda zake, wakati ambapo chama kiliweza kuwa na nguvu zaidi na kuanza kuenea sehemu zote nchini. Chini ya Samia, CHADEMA itakufa kimya kimya, na baadhi ya viongozi wao wakimezwa ndani ya CCM.
 
Usimtegemee
Sio kweli kunatofauti kubwa kati ya Samia na yule Ibilisi nasi tunaiona Samia anamuogopa Mungu na anajua maana ya HAKI

Lile Jinamizi lilkuwa linaabudu Uchawi.
 
Sio kweli kunatofauti kubwa kati ya Samia na yule Ibilisi nasi tunaiona Samia anamuogopa Mungu na anajua maana ya HAKI

Lile Jinamizi lilkuwa linaabudu Uchawi.
Naona hatuelewani.
Tofauti kati ya hao wawili ipo sana kama ilivyo kwenye jinsia zao.

Naomba uelewe ninachoeleza..
AAAh!, ninakuelewa mkuu 'imhotep'.

Ulishabainisha kwamba wewe upo CHADEMA. Nisome vizuri ninapoandika. Siwezi kushangaa sana baada ya CHADEMA kudhoofika sana, ukawa ni mmoja wa hao wa CHADEMA niliowazungumzia hapo juu.
 

Ok, nimekuelewa
 
Uongo hautakusaidia kitu
 
Wameshindwa na vitenge vya magendo wamebakia kupambana na CHADEMA.
Sikuwahi kudhani kwamba kumbe Vitenge vinaweza kuangusha serikali kirahisi namna hii !

Ni suala la muda tu
 
Akikujibu nistue .
 

Polisi wanafanya kazi yao kwa mujibu wa sheria za nchi, sio sheria za CCM..

CHADEMA mkishapotea kwenye siasa, mnaanza kushindana na Polisi, fuateni taratibu, sio mnaanza kuzunguka mikoani wakati nyie sio watawala wa nchi hii. CCM ndio mtawala wa nchi hii.
 
Una uwezo mdogo sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…