mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hata kama sikua na cha kuanzia ningeachana navyo maana saa nyingine unaweza hata kuuawa. Na mahakama zetu hizi mhhKama ulikuwa na chakuanzia sawa, mfano mtu anakutosa katikati ya bahari unafanyaje hapo!
Kanisani hakuna vyeti viwili; kiko kimoja tu nacho ni cha Serikali; cha pili Mungu shahidi.Hiki ulichoandika ndio ninachofahamu, Sasa kama hao wanandoa waliishia kanisani hawakufata cha serikali inakuwaje?
Nimempenda huyo mke.
Kama mbwai iwe mbwai
Alipiga chini mke wa kwanza lakini alimuacha Ile ya ondoka sikutaki tena, bibie akasepa Prof akavuta jiko kwa ndoa ya kiserikali ndio wajuba wakamsanua bi mkubwa kuwa Kuna mwanya wa kupiga pesaHahaha basi hapo kachemsha
Ova
Uadui haufai,hata kama yeye anakufanyia uadui,we jaribu kumuepukaNa mkishajenga uadui ni mwendo wa kukomoana tu. Kesi inaweza kuchukua hadi miaka 5 inapigwa kalenda tu. Kuna dada mmoja Muha , alijifanya mjanja amekuwa kazi yake ni kushinda mahakamani kesi haiishi. Mawakili wamemkimbia maana hana hela ya kuwalipa. Kila leo anaenda kwa waganga kuloga lakini wapi. Mkishazaa haitakiwa kuwa maadau, mnaumiza watoto na kupotezeana muda. Mimi niliona ujinga kuanza kufungua sijui kesi za ugoni na ushahifi nilikuwa nao. Nikaona naweza poteza muda ambao ningeweza kuutumiaa kuzalisha zaidi ya ninachokidai.
Kinyume chake; prof kaingia cha kike kwa jimama la kichaga.Bank teller kavamia shamba lenye beacon
Hakuna Mchaga boya, ukute kashajengewa NyumbaKinyume chake; prof kaingia cha kike kwa jimama la kichaga.
Kuna mwamba ni mhadhiri UDSM, analea mwenyewe watoto toka 2010.Kweli...
Kuna mtu wangu wa karibu anatolewa machozi ,jasho na damu na mwanamke ..muha!
Kahama nyumbani mwenyewe afu anataka wagawane Mali!
Mume Ni muhadhiri hapo SUA.
Yaani kinachotokea kanisani huwa kinakuwa kimetokea serikalini?Kanisani hakuna vyeti viwili; kiko kimoja tu nacho ni cha Serikali; cha pili Mungu shahidi.
DuhAlipiga chini mke wa kwanza lakini alimuacha Ile ya ondoka sikutaki tena, bibie akasepa Prof akavuta jiko kwa ndoa ya kiserikali ndio wajuba wakamsanua bi mkubwa kuwa Kuna mwanya wa kupiga pesa
CRDB na WACHAGA!!!Kinyume chake; prof kaingia cha kike kwa jimama la kichaga.
Inategemea umesain ndoa ya aina gani ndoa za mitala ukifunga bomani, ndoa ya kimila au kislamu ndio mitala ruksa . Ndoa ya kikristu mitala haitambuliki.Tanzania sheria inaruhusu mitala hapo hamna kesi
Unaujua ukwasi wa prof? Matrida anaweza ambulia TZS 1,000/=. Ref. Mengi case.Hapo kwenye shitaka la talaka ni pasu kwa pasu, matrida atakua new boss lady in town
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Papa aweke sahihi ni leo hio sasa? Mi yakinishinda nachukua goma jengine kwa DCIt seems aliona taratibu za kanisa ni ndefu mno akaamua akafunge ndoa nyingine serikalini, unajua katoliki ili uvunje ndoa ni hadi papa aweke sahihi
Hizi kesi za mgawanyo wa mali kwa bongo haziko straight foward, unaweza ukajazwa upepo na wapambe mwisho ukaambulia kiduchuUnaujua ukwasi wa prof? Matrida anaweza ambulia TZS 1,000/=. Ref. Mengi case.
Kuna mtu barua yake ya kuomba kuvunja ndoa aliiandika 1992 akaja kujibiwa 2004 kuwa amekubaliwa🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Papa aweke sahihi ni leo hio sasa? Mi yakinishinda nachukua goma jengine kwa DC
Siku hizi hakuna cha kusubiria papa sijui nini. Kanisani wal🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Papa aweke sahihi ni leo hio sasa? Mi yakinishinda nachukua goma jengine kwa DC
Umechanganya Mambo kiongozi, ungetulia kwanzaSijasema katumia S.160 ya LMA,1971 ya Presumption of Marriage,nilikuwa namaanisha kuwa zile assumptions/conditions zinazoruhusu kuoa au kuolewa kama zimetimizwa ndoa maana naongelea ndoa ya kwanza na siyo dhana ya ndoa ya kwanza(presumption of marriage)