Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Tuujenge campus gani kwenu SUA starsHayo Mambo Muda Haupo Walifanya Mapenzi Mpaka Mahaba
Mwenye Kupenda Haoni Chongo Ataita Kengeza
Kwako Professor Mnara Tunaujenga Wapi
Rais Mteue Huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuujenge campus gani kwenu SUA starsHayo Mambo Muda Haupo Walifanya Mapenzi Mpaka Mahaba
Mwenye Kupenda Haoni Chongo Ataita Kengeza
Kwako Professor Mnara Tunaujenga Wapi
Rais Mteue Huyo
Hatari Kubwa Mwagia Ndani Juma Wahuni Wamepasua Speaker OopsKuloweka hakuna mwenyewe. Si unaona juma-lokolay wahuni wameloweka mpaka kapata private#
**Wahuni wanaloweka Kwa yoyote, popote ili Mradi akojoe tu
Ili Wanachuo Waone Kazi Ya Professor Kuwa Anacharaza MpakaTuujenge campus gani kwenu SUA stars
Kweli...Mtoto wa Kiha hao hawawezanagi na wasomi. Moto lazma utawaka hapo na wakishindwana kisheria shughuli itahamia Kibondo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu mnasema wachaga hawajui mapenzi, hebu kwendreeni hukoKaachwa muha kabebwa mmarangu
Tena matruda akomae, sijui kwa nini hakusema 500m nae kazubaaNdoa ndoano.. Fidia ya milion 100 tasilimu
AiseeYes... kwenye cheti cha ndoa, unasema ndoa yako ni ya aina gani; monogamy, polygamy au potential polygamy. Sasa kama ulisema ndoa yako ni ya mke na mme mmoja; ukiongeza mke bila kuvunja ndoa ya kwanza ni kesi hiyo
Hiki ulichoandika ndio ninachofahamu, Sasa kama hao wanandoa waliishia kanisani hawakufata cha serikali inakuwaje?Sawa. Inawezekana kwa level ya dini wanna taratibu zao. Ila when it comes to disputes like this hicho cha dini hakitambuliki mzee unless mnamalizana mbele ya Shekhe. Mahakamani cheti kinachotambulika ni cha Serikali.
Hapo kwenye shitaka la talaka ni pasu kwa pasu, matrida atakua new boss lady in townHalafu uelewe kwamba hili ni shitaka la ugoni tu..bado madai ya talaka. Mwaka huu, huyo mgoni ataona rangi zote.
It seems aliona taratibu za kanisa ni ndefu mno akaamua akafunge ndoa nyingine serikalini, unajua katoliki ili uvunje ndoa ni hadi papa aweke sahihiProfesa alitakiwa kufuata utaratibu. Na hatua ya kwanza ni kubatilisha ndoa ya awali. Failure to do that anampa nguvu ya kisheria huyo mke wa ujana wake.
HahahahaProf kaona matiti yameshalala ngoja niwahi kwa bank teller chuchu-konzi, kitu mnato
Inaelekea profesa alitaka sana kuvunja ndoa,ila yawezekana vigezoIt seems aliona taratibu za kanisa ni ndefu mno akaamua akafunge ndoa nyingine serikalini, unajua katoliki ili uvunje ndoa ni hadi papa aweke sahihi
Wewe acha kupotosha mkuu, sema mkishafunga ndoa cheti kinapelekwa kwa msajili wa ndoa.Ukitaka ndoa yako itambulike kotekote yaani kidini na kiserikali lazima uwe na vyeti vyote, unachukia cha kidini unapeleka serikalini wanakupa cha kwao kwahiyo unakuwa na vyeti viwili vya ndoa moja
Serikali haina dini ila inatambua uwepo wa dini na inatambua sheria za dini na ndio maana kwenye cheti.cha serikali unasain ndoa ya aina gani umefunga. Kama wanandoa mmesaini ndoa ya kiislamu na sheria za kislamu ziko wazi kwenye maswal ya ndoa mume akioengez mke ni haki yake hata mwanamke ukienda mahakamani unajisumbua.Sawa. Inawezekana kwa ya dini wanna taratibu zao. Ila when it comes to disputes like this hicho cha dini hakitambuliki mzee unless mnamalizana mbele ya Shekhe. Mahakamani cheti kinachotambulika ni cha Serikali.
Nimejiuliza baada ya kucoment kwake nkajua nikatoto hakajui chochoteNa mahakama pekee ndiyo wana uwezo wa kuwatenganisha au kutoa talaka
Ova
Na huo mlolongo mrefu ndy unafanya watu waliyoko kwenye ndoa kuumizana na kuuwana,wanapokuwa na mgogoroSerikali haina dini ila inatambua uwepo wa dini na inatambua sheria za dini na ndio maana kwenye cheti.cha serikali unasain ndoa ya aina gani umefunga. Kama wanandoa mmesaini ndoa ya kiislamu na sheria za kislamu ziko wazi kwenye maswal ya ndoa mume akioengez mke ni haki yake hata mwanamke ukienda mahakamani unajisumbua.
Hiyo ndoa ni ya kikristo lazima kuwe kuna ugumu kwenye kuivunja na wanandoa mnatambua na serikali inatambua ndio maana ndoa za kikristo zina milolongo mirefu.