Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Kama alifunga ndoa Chachi na hakupeleka taarifa serikalini, serikali haiwezi kuwa na taarifa ya hiyo ndoa, ukienda kanisani unaikuta Ila serikalini huikuti
Ndio maana kanisani hua wanatoa pingamizi sasa imekuaje hakuna database ya vyeti vya ndoa ikagundulika kabla ya kuleta sintofahamu maana yake utendaji wa Serikali kwenye masuala ya ndoa na talaka ni mbovu au unamaanisha nini? Yaan Serikali haina database ya vyeti vya ndoa na talaka? Ndio unamaanisha hivyo?
 
Hata hajiulizi inakuwaje yale mavyeti ya ndoa yanafanana nchi nzima iwe umefungia bomani, kanisani, msikitikini, Hindu, Buddha, n.k. Player ni Serikali na tozo inalipwa.
Ukitaka ndoa yako itambulike kotekote yaani kidini na kiserikali lazima uwe na vyeti vyote, unachukia cha kidini unapeleka serikalini wanakupa cha kwao kwahiyo unakuwa na vyeti viwili vya ndoa moja
 
Alisema wapi ndoa ya mke mmoja? Kumbuka mavyeti ya kanisani na msikitini serikali haizitambui
Labda kama huna cheti, ila vinatolewa na serikali

1674495757553.png


Na kuna kipengele cha kusema aina ya ndoa

1674495795690.png


Huyo Professa anaweza akalipishwa hizo pesa kama asipokuwa makini
 
presumptions za legitimate marriage kama zina exist ndo zinaipa uhalali ndoa ya pili,bila kujali huyo muolewaji alikuwa anajua au la
Kwa hio hawajafunga ndoa kanisani umetumia Presumption of Marriage? 😂

Yaani km akienda kusema hivyo Mahakamani kesi ishakufa mapemaaa,
 
Yes... kwenye cheti cha ndoa, unasema ndoa yako ni ya aina gani; monogamy, polygamy au potential polygamy. Sasa kama ulisema ndoa yako ni ya mke na mme mmoja; ukiongeza mke bila kuvunja ndoa ya kwanza ni kesi hiyo
katoliki hakuna polygamy.....
 
Cheti cha ndoa ni cha Serikali kaka! Dini hazinaga hivyo vitu! Wao ni mawakala wa Serikali kufungisha ndoa tu.
Nakataa mkuu, Nina vyeti viwili vya ndoa, kimoja cha kidini na kimoja cha serikali kwa ndoa hiyohiyo moja
 
Huyo mdada watakuwa wamemuonea. Yani kwa muonekano tu, ukiambia uchague watu kumi wa kwenda Mbinguni, huyo mdada huwezi kumuacha.
 
Kwa hio hawajafunga ndoa kanisani umetumia Presumption of Marriage? 😂

Yaani km akienda kusema hivyo Mahakamani kesi ishakufa mapemaaa,
Sijasema katumia S.160 ya LMA,1971 ya Presumption of Marriage,nilikuwa namaanisha kuwa zile assumptions/conditions zinazoruhusu kuoa au kuolewa kama zimetimizwa ndoa maana naongelea ndoa ya kwanza na siyo dhana ya ndoa ya kwanza(presumption of marriage)
 
Analazimisha kupendwa, ukute yeye ndio chanzo cha mume wake kwenda kuoa mwanamke mwingine. Hakuna mwanaume anaeweza Acha mke mwema. Hadi mwanaume kuoa mke mwingine shida ni kasoro ya mke wa kwanza kashindwa kujua wajibu wake ni nini
- Ndoa haivunjwi kirahisi hivyo, Kuna sabab Lazima ziwepo ndio ndoa ivunjike au ivunjwe.
 
Back
Top Bottom