Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana kanisani hua wanatoa pingamizi sasa imekuaje hakuna database ya vyeti vya ndoa ikagundulika kabla ya kuleta sintofahamu maana yake utendaji wa Serikali kwenye masuala ya ndoa na talaka ni mbovu au unamaanisha nini? Yaan Serikali haina database ya vyeti vya ndoa na talaka? Ndio unamaanisha hivyo?Kama alifunga ndoa Chachi na hakupeleka taarifa serikalini, serikali haiwezi kuwa na taarifa ya hiyo ndoa, ukienda kanisani unaikuta Ila serikalini huikuti
Ukitaka ndoa yako itambulike kotekote yaani kidini na kiserikali lazima uwe na vyeti vyote, unachukia cha kidini unapeleka serikalini wanakupa cha kwao kwahiyo unakuwa na vyeti viwili vya ndoa mojaHata hajiulizi inakuwaje yale mavyeti ya ndoa yanafanana nchi nzima iwe umefungia bomani, kanisani, msikitikini, Hindu, Buddha, n.k. Player ni Serikali na tozo inalipwa.
Vyeti viwili vya ndoa? Cha kidini na Serikali? Hii ni habari mpya kwangu! Dini gani wanafanya hivyo?Ukitaka ndoa yako itambulike kotekote yaani kidini na kiserikali lazima uwe na vyeti vyote, unachukia cha kidini unapeleka serikalini wanakupa cha kwao kwahiyo unakuwa na vyeti viwili vya ndoa moja
Labda kama huna cheti, ila vinatolewa na serikaliAlisema wapi ndoa ya mke mmoja? Kumbuka mavyeti ya kanisani na msikitini serikali haizitambui
Kwa hio hawajafunga ndoa kanisani umetumia Presumption of Marriage? 😂presumptions za legitimate marriage kama zina exist ndo zinaipa uhalali ndoa ya pili,bila kujali huyo muolewaji alikuwa anajua au la
katoliki hakuna polygamy.....Yes... kwenye cheti cha ndoa, unasema ndoa yako ni ya aina gani; monogamy, polygamy au potential polygamy. Sasa kama ulisema ndoa yako ni ya mke na mme mmoja; ukiongeza mke bila kuvunja ndoa ya kwanza ni kesi hiyo
Nakataa mkuu, Nina vyeti viwili vya ndoa, kimoja cha kidini na kimoja cha serikali kwa ndoa hiyohiyo mojaCheti cha ndoa ni cha Serikali kaka! Dini hazinaga hivyo vitu! Wao ni mawakala wa Serikali kufungisha ndoa tu.
Babra? Utaweza kapuku wewe? Nitakuchangia.Nani aje nimuoe akachepuke na Mo dewji ili nidai fidia 1B
Dini gani wewe? Sorry for that question anyway!Nakataa mkuu, Nina vyeti viwili vya ndoa, kimoja cha kidini na kimoja cha serikali kwa ndoa hiyohiyo moja
Alisema wapi ndoa ya mke mmoja? Kumbuka mavyeti ya kanisani na msikitini serikali haizitambui
MuslimDini gani wewe? Sorry for that question anyway!
We Kaa kushoto mada yako ya Simba atafungwa imekushinda kule na utahira wakoNyie ndio mnaitwa bush lawyers na kichwawazi
Sawa. Inawezekana kwa level ya dini wanna taratibu zao. Ila when it comes to disputes like this hicho cha dini hakitambuliki mzee unless mnamalizana mbele ya Shekhe. Mahakamani cheti kinachotambulika ni cha Serikali.Muslim
Sijasema katumia S.160 ya LMA,1971 ya Presumption of Marriage,nilikuwa namaanisha kuwa zile assumptions/conditions zinazoruhusu kuoa au kuolewa kama zimetimizwa ndoa maana naongelea ndoa ya kwanza na siyo dhana ya ndoa ya kwanza(presumption of marriage)Kwa hio hawajafunga ndoa kanisani umetumia Presumption of Marriage? 😂
Yaani km akienda kusema hivyo Mahakamani kesi ishakufa mapemaaa,
Sheria ya ndoa ndio imesema hivyo.Hivi kumbe ugoni unaweza kudai fidia na ukalipwa?
- Ndoa haivunjwi kirahisi hivyo, Kuna sabab Lazima ziwepo ndio ndoa ivunjike au ivunjwe.Analazimisha kupendwa, ukute yeye ndio chanzo cha mume wake kwenda kuoa mwanamke mwingine. Hakuna mwanaume anaeweza Acha mke mwema. Hadi mwanaume kuoa mke mwingine shida ni kasoro ya mke wa kwanza kashindwa kujua wajibu wake ni nini
Katoliki walikomaa hadi ikazaliwa Anglican kisa Mfalme kutaka kuongeza mke wako siriaz wale jamaa.katoliki hakuna polygamy.....