Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
THE NATURE OF MARRIAGE IN TANZANIABushlawyer kwema?
The law of marriage is basically provides two types of marriage in Tanzania the monogamous and polygamous [under s.9, 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
THE NATURE OF MARRIAGE IN TANZANIABushlawyer kwema?
Kuna watu humu wanabisha etiWaTz tujifunze sheria, comments zinatia shaka juu ya uelewa wa griti sinkaz.
Mama yuko sahihi kisheria kufile mashitaka, suala la kushinda kesi au kushindwa ni jambo jingine kabisa.
Akavunje ndoa ya kwanza kusheria limkute jambo. We unadhani kwanini wanawake wanapenda sana papers? Tena huku kwetu haya mambo hayatiliwi mkazo, unaachwa hapo na mtu anasepa, ila ukiamua kukomaa nae mtaishia kulogana.Hakuna uzinzi
Hakuna kosa
Professor ameoa na nihaki yake kikatiba
Boss utawaweza watoto wa humu?Kuna watu humu wanabisha eti
Wakati sheria iko wazi
Ova
Na mimi pia ndugu, tujitahidi kuheshimu kula viapo tulivyokula baada ya kufunga ndoa.
Mambo hayapo kienyeji hivyo,kisheria ukimzalisha au ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke mkiachana yeye thamani yake inakuwa imeshuka tofauti na mwanzo kwahio sheria lazima imlinde.Kwani ye alikuwa hapati utamu?
Hii kesi mboni nyepesi sana, kilichoipa kesi uzito ni madai ya Million 100 kwa kigezo kwamba amefunga ndoa mara mbili, yaani anamaana ile database ya Serikali inayotunza kumbukumbu za watu wanaofunga ndoa haifanyi kazi? kuonyesha kua huyu kafunga ndoa au hajafunga au anataka kufunga ndoa mara ya pili? Yaan anaikosoa Serikali aifanyi kazi yake kwa weledi au anamaanisha nini?,Hapo huyo mwanamke wa crdb anaweza akajitetea,mm sijujuwa kama huyu alikuwa mme wa mtu
Msala anamuachia Prof wa sua tu
Yeye anachomoka
Ova
Kashindwa kulipia mawakili?Mpeleke Tawla akapate mawakili wa kujitolea
Sio uwezo,ukubwa madhara aliyosababishaSo madai atalipwa kulingana na uwezo wa mdaiwa
HAHAHAHAHAHASababu namba 6800 kwanini usioe.
Wajinga wachache bado wanaoa, Ndoa imekua biashara na sehemu ya kujiingizia kipato kwa upande wa KE
Mvuto umetisha lini?Huyo cigareti anang'ang'ania nini? Kama huna mvuto. Ambaa
There are three types of marriages recognized in Tanzania which are civil, religious and customary marriages.3 Oct 20111. Marriage certificate (ndoa namba 1) ipo?
2. Divorce paper (Kwa iliyokuwa ndoa namba 1 ipo?).
CASE CLOSED.
Kwani akilipwa hiyo mil100 ndio mahaba yatarudi? Watu wanawaza wanaachajwe na hii hali?Haya wakigawana 3 each, mapenzi yatarudi? Non sense.... na nakuhakikishia huyo Matrida ataachwa Solemba!!
haikatazi,lakini kama ndoa ya kwanza ilikuwa ni ya mke mmoja kama ya kikatoliki,Sheria ya Ndoa,LMA,1971 inakataza kufunga ndoa nyingine,mpaka hapo ya kwanza itakapokuwa imebatilishwaSerikali haina zuio na idadi ya wake, bali inakupa cheti cha UHALALI wa Ndoa kwa kila Mke uliyeoa.