Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Analazimisha kupendwa, ukute yeye ndio chanzo cha mume wake kwenda kuoa mwanamke mwingine. Hakuna mwanaume anaeweza Acha mke mwema. Hadi mwanaume kuoa mke mwingine shida ni kasoro ya mke wa kwanza kashindwa kujua wajibu wake ni nini
Nai Laminate hi comment

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Soma kifungu # 72 ya sheria ya ndoa 1971

Ova
Kifungu kifungu kina nini ndoa imesainiwa kanisani au procedure hawazijui? Usuruhishi unaanza kwa baba paroko mkishwindana uko ndio mnapelekana mahakamani, hukurupuki tu, hio kesi huyo mama anaenda kushindwa vibaya

Ndio maana wakili wa upande wa utetezi kagoma kuizungumzia kwa waandishi maana sheria hawajizui taratibu zinakuaje, hutakiwi kuruka kipengele, au walifunga ndoa kwa mkuu wa mkoa?
 
Sasa mbona hakuna ugoni wowote hapo! Nilichogundua, Matilda Sigaret ni mwanamke mtata (pilipili)! Na asiyetaka kukubali matokeo.

Bora angewekeza nguvu zake kwenye kugawana mali na huyo Profesa (kama waliishi pamoja). Badala ya kutaka kulipwa hela za bure.
Hiyo kugawana mali ni kwenye talaka.Matilda anadai fidia ya ugoni na ni lazima alipwe.Profesa alikosea kuingia kwenye ndoa mpya kabla hajavunja ya zamani
 
Kifungu kifungu kina nini ndoa imesainiwa kanisani au procedure hawazijui? Usuruhishi unaanza kwa baba paroko mkishwindana uko ndio mnapelekana mahakamani, hukurupuki tu, hio kesi huyo mama anaenda kushindwa vibaya

Ndio maana wakili wa upande wa utetezi kagoma kuizungumzia kwa waandishi maana sheria hawajizui taratibu zinakuaje, hutakiwi kuruka kipengele, au walifunga ndoa kwa mkuu wa mkoa?
Haya makesi watu washayapitiaaa

Ila tuendele kufatilia hii kesi tu

Ova
 
Back
Top Bottom