Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Sasa mbona hakuna ugoni wowote hapo! Nilichogundua, Matilda Sigaret ni mwanamke mtata (pilipili)! Na asiyetaka kukubali matokeo.

Bora angewekeza nguvu zake kwenye kugawana mali na huyo Profesa (kama waliishi pamoja). Badala ya kutaka kulipwa hela za bure.
 
Hujui sheria, soma attachment nimeweka hapo. Fidia haimzuii kudai kugawana mali ya ndoa...
 
Mbona kadai pesa kiduchu hivyo? Hili ni swala kuharkbiwa hadhi na maisha yake.... Alitakiwa aanzie 0.5bn au hata 1bn .
Ningekuwa mimi ni huyo Kissanga hiyo 0.1bn ningempa bila hata ya kwenda mahakamani.
Unadhani pesa ni sawa na pumbu huyo profesa 1B atatoa wapi?
Hata wakiuza mali za ukoo wote bado 1B haipatikani.
 
Back
Top Bottom