Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Hapo huyo mwanamke wa crdb anaweza akajitetea,mm sijujuwa kama huyu alikuwa mme wa mtu
Msala anamuachia Prof wa sua tu
Yeye anachomoka

Ova
Hii kesi mboni nyepesi sana, kilichoipa kesi uzito ni madai ya Million 100 kwa kigezo kwamba amefunga ndoa mara mbili, yaani anamaana ile database ya Serikali inayotunza kumbukumbu za watu wanaofunga ndoa haifanyi kazi? kuonyesha kua huyu kafunga ndoa au hajafunga au anataka kufunga ndoa mara ya pili? Yaan anaikosoa Serikali aifanyi kazi yake kwa weledi au anamaanisha nini?,

Kanisani hutangaza pingamizi ndani mwezi mmoja km sijakosea ili km kuna mtu anapinga hio ndoa husika basi afike kupinga ndoa kwa baba paroko kwamba baba huyu anaefunga hii ndoa ni mume wangu iweje anafunga tena ndoa? je! alifuatilia ndoa hio ilipofungwa na ikafungwa huku akiona na hakuchukua hatua yoyote mpaka sasa?

Sasa akileta uongo mahakamani ndio nakwambia kesi inatupwa mbali maana karuka vipengele, amekurupuka hajafuata taratibu
 
Hili la mil.100 likipita itabidi angalau kwa mwezi unatoa siku nzima ya kumfatilia mwenzi wako...
 
Serikali haina zuio na idadi ya wake, bali inakupa cheti cha UHALALI wa Ndoa kwa kila Mke uliyeoa.
haikatazi,lakini kama ndoa ya kwanza ilikuwa ni ya mke mmoja kama ya kikatoliki,Sheria ya Ndoa,LMA,1971 inakataza kufunga ndoa nyingine,mpaka hapo ya kwanza itakapokuwa imebatilishwa
 
Back
Top Bottom