Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Mtoto wa Kiha hao hawawezanagi na wasomi. Moto lazma utawaka hapo na wakishindwana kisheria shughuli itahamia Kibondo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli...
Kuna mtu wangu wa karibu anatolewa machozi ,jasho na damu na mwanamke ..muha!
Kahama nyumbani mwenyewe afu anataka wagawane Mali!

Mume Ni muhadhiri hapo SUA.
 
Yes... kwenye cheti cha ndoa, unasema ndoa yako ni ya aina gani; monogamy, polygamy au potential polygamy. Sasa kama ulisema ndoa yako ni ya mke na mme mmoja; ukiongeza mke bila kuvunja ndoa ya kwanza ni kesi hiyo
Aisee
 
Sawa. Inawezekana kwa level ya dini wanna taratibu zao. Ila when it comes to disputes like this hicho cha dini hakitambuliki mzee unless mnamalizana mbele ya Shekhe. Mahakamani cheti kinachotambulika ni cha Serikali.
Hiki ulichoandika ndio ninachofahamu, Sasa kama hao wanandoa waliishia kanisani hawakufata cha serikali inakuwaje?
 
Profesa alitakiwa kufuata utaratibu. Na hatua ya kwanza ni kubatilisha ndoa ya awali. Failure to do that anampa nguvu ya kisheria huyo mke wa ujana wake.
It seems aliona taratibu za kanisa ni ndefu mno akaamua akafunge ndoa nyingine serikalini, unajua katoliki ili uvunje ndoa ni hadi papa aweke sahihi
 
It seems aliona taratibu za kanisa ni ndefu mno akaamua akafunge ndoa nyingine serikalini, unajua katoliki ili uvunje ndoa ni hadi papa aweke sahihi
Inaelekea profesa alitaka sana kuvunja ndoa,ila yawezekana vigezo
Vyake havikutimia na kukubaliwa na kanisa
Inaelekea kulikuwa na process,sasa kwenye ndoa kukishakuwa na tofauti,chuki basi hapo wote wanaishi kwa kuviziana,
Inaelekea mke wa Prof alimuwinda hadi kupata maushahidi+uthibitisho kuwa mme ana mchepuko
Ndiyo kamuwahi,any way hii ni civil case tu,sema kesi ikishafika mahakamani ni kesi

Ova
 
Sawa. Inawezekana kwa ya dini wanna taratibu zao. Ila when it comes to disputes like this hicho cha dini hakitambuliki mzee unless mnamalizana mbele ya Shekhe. Mahakamani cheti kinachotambulika ni cha Serikali.
Serikali haina dini ila inatambua uwepo wa dini na inatambua sheria za dini na ndio maana kwenye cheti.cha serikali unasain ndoa ya aina gani umefunga. Kama wanandoa mmesaini ndoa ya kiislamu na sheria za kislamu ziko wazi kwenye maswal ya ndoa mume akioengez mke ni haki yake hata mwanamke ukienda mahakamani unajisumbua.

Hiyo ndoa ni ya kikristo lazima kuwe kuna ugumu kwenye kuivunja na wanandoa mnatambua na serikali inatambua ndio maana ndoa za kikristo zina milolongo mirefu.
 
Mkishafunga ndoa basi muelewe mshajifunga kwenye mambo kadhaa wa kadhaa
Mkisha sign madokomaa yenu basi kila mtu Ana hati miliki ya mwenzake
Watu wanakurupuka tu kufunga ndoa
Ila yanayoweza kutokea mbeleni hamjui,kutokana na akili ya mwenzako

Ova
 
Serikali haina dini ila inatambua uwepo wa dini na inatambua sheria za dini na ndio maana kwenye cheti.cha serikali unasain ndoa ya aina gani umefunga. Kama wanandoa mmesaini ndoa ya kiislamu na sheria za kislamu ziko wazi kwenye maswal ya ndoa mume akioengez mke ni haki yake hata mwanamke ukienda mahakamani unajisumbua.

Hiyo ndoa ni ya kikristo lazima kuwe kuna ugumu kwenye kuivunja na wanandoa mnatambua na serikali inatambua ndio maana ndoa za kikristo zina milolongo mirefu.
Na huo mlolongo mrefu ndy unafanya watu waliyoko kwenye ndoa kuumizana na kuuwana,wanapokuwa na mgogoro

Ova
 
Back
Top Bottom