Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Uadui haufai,hata kama yeye anakufanyia uadui,we jaribu kumuepuka

Ova
 
Kweli...
Kuna mtu wangu wa karibu anatolewa machozi ,jasho na damu na mwanamke ..muha!
Kahama nyumbani mwenyewe afu anataka wagawane Mali!

Mume Ni muhadhiri hapo SUA.
Kuna mwamba ni mhadhiri UDSM, analea mwenyewe watoto toka 2010.
 
Alipiga chini mke wa kwanza lakini alimuacha Ile ya ondoka sikutaki tena, bibie akasepa Prof akavuta jiko kwa ndoa ya kiserikali ndio wajuba wakamsanua bi mkubwa kuwa Kuna mwanya wa kupiga pesa
Duh

Ova
 
Umechanganya Mambo kiongozi, ungetulia kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…