Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Baada ya ugoni ataomba talaka then mgawo
ukumbuke, fidia ya ugoni anayelipa sio mwanandoa. Hapo Prof ameshtakiwa sababu ndio mwanandoa lakini anayedaiwa fidia ni yule aliyeolewa (mama wa benki)
 
Mzee kwenye maelezo ya talaka uko deep lazima kuna kitu sio bure
Nishapitia makesi hayo mkuu

Nishapelekwa mahakamani kwa kesi hiyo,nishapelekwa mahakamani kwa kesi zetu zile zingine....yjanjajanja
Mahakamani hakufai in short
Maana ukishakuwa na issue huko
Kichwa chako muda wote unafikiria kuhusu kesi [emoji1]
Tukirudi kwenye kesi za ndoa civil case,nyingi badayee zinageuka kuwa criminal case

Ova
 
ukumbuke, fidia ya ugoni anayelipa sio mwanandoa. Hapo Prof ameshtakiwa sababu ndio mwanandoa lakini anayedaiwa fidia ni yule aliyeolewa (mama wa benki)
Ni kweli kabisa. Na huyu dada anaweza kujitetea kuwa alikuwa hajui kama prof kaoa. Halafu mahakama ndio inaamua fidia sio unajipangia kiwango chako tu
 
Kuna janjajanja kibao, ukiingia kichwa kichwa unaangukia pua maana sheria haziko wazi
 
Kuna janjajanja kibao, ukiingia kichwa kichwa unaangukia pua maana sheria haziko wazi
Mahakamani uwanja wa vita
Ukishakuwa na kesi yoyote
70% mawazo yako inabidi uyaelekeze
Huko,ynafikiria namna ya kutoboa huko....stressfull Sana

Ova
 
Njia rahisi ya kusuluhisha hili; ni profesa akaanze maisha upya na huyo mke aliyemuoa oktoba 2022, na amuachie mke mkubwa zile mali zote walizochuma wakiwa pamoja na mke mkubwa (mlalamikaji)
Hapo sasa aushinde moyo

Wenyewe wanakuambia nmgawie Mali alafu akale na bwana wake mpya
[emoji1]
Kwa upande wangu nasema lazima maisha yaendele,bora mpigane chini
Kila mtu aendele na mitkasi yake
Mkisema mdindiane mwishowe mtakuja umizana na kuuwana tu

Ova
 
elewa huyu hadai talaka anadai fidia ya Ugoni hii ni dai tofauti na fidia baada ya talaka
 
taarifa zinaweza kuwepo endapo baada ya kufunga ndoa kanisani mlienda kuisajiri serikalini otherwise unaweza kuta kumbukumbu zipo kwa katekista tu na kwa paroko...jifunzeni....
 
Vyeti viwili vya ndoa? Cha kidini na Serikali? Hii ni habari mpya kwangu! Dini gani wanafanya hivyo?
siyo dini ni nyie wanandoa baada ya kutoka honeymoon mnaenda kuisajili serikalini hasa mkitaka kubadilisha ubini wa muolewaji
 
huyu mbona kama Bank Teller kwa majibu yake... hahahahahahah
 
Sasa unakuta mmoja ndio anahitaji kuvunja na mwingine hayupo ready na unakuta yeye ndio tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…