Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Mzee kwenye maelezo ya talaka uko deep lazima kuna kitu sio bure
Nishapitia makesi hayo mkuu

Nishapelekwa mahakamani kwa kesi hiyo,nishapelekwa mahakamani kwa kesi zetu zile zingine....yjanjajanja
Mahakamani hakufai in short
Maana ukishakuwa na issue huko
Kichwa chako muda wote unafikiria kuhusu kesi [emoji1]
Tukirudi kwenye kesi za ndoa civil case,nyingi badayee zinageuka kuwa criminal case

Ova
 
ukumbuke, fidia ya ugoni anayelipa sio mwanandoa. Hapo Prof ameshtakiwa sababu ndio mwanandoa lakini anayedaiwa fidia ni yule aliyeolewa (mama wa benki)
Ni kweli kabisa. Na huyu dada anaweza kujitetea kuwa alikuwa hajui kama prof kaoa. Halafu mahakama ndio inaamua fidia sio unajipangia kiwango chako tu
 
Nishapitia makesi hayo mkuu

Nishapelekwa mahakamani kwa kesi hiyo,nishapelekwa mahakamani kwa kesi zetu zile zingine....yjanjajanja
Mahakamani hakufai in short
Maana ukishakuwa na issue huko
Kichwa chako muda wote unafikiria kuhusu kesi [emoji1]
Tukirudi kwenye kesi za ndoa civil case,nyingi badayee zinageuka kuwa criminal case

Ova
Kuna janjajanja kibao, ukiingia kichwa kichwa unaangukia pua maana sheria haziko wazi
 
Kuna janjajanja kibao, ukiingia kichwa kichwa unaangukia pua maana sheria haziko wazi
Mahakamani uwanja wa vita
Ukishakuwa na kesi yoyote
70% mawazo yako inabidi uyaelekeze
Huko,ynafikiria namna ya kutoboa huko....stressfull Sana

Ova
 
Njia rahisi ya kusuluhisha hili; ni profesa akaanze maisha upya na huyo mke aliyemuoa oktoba 2022, na amuachie mke mkubwa zile mali zote walizochuma wakiwa pamoja na mke mkubwa (mlalamikaji)
Hapo sasa aushinde moyo

Wenyewe wanakuambia nmgawie Mali alafu akale na bwana wake mpya
[emoji1]
Kwa upande wangu nasema lazima maisha yaendele,bora mpigane chini
Kila mtu aendele na mitkasi yake
Mkisema mdindiane mwishowe mtakuja umizana na kuuwana tu

Ova
 
Hii kesi mama kashashindwa mapeeema, yaan bora angeenda kanisani angesaidiwa angalau km angeshindwa ndio angeenda mahakamani kwa ushauri wa baba paroko kwamba huku tumewashindwa nendeni mahakamani na barua wanapewa, sasa hukurupuki tu kukimbilia mahakamani unaikimbilia Marriage Act je! umefuata procedure ulienda kanisani kupata suluhu mkashindwana na kupewa kibari cha kwenda mahakamani au kalidharau kanisa?
elewa huyu hadai talaka anadai fidia ya Ugoni hii ni dai tofauti na fidia baada ya talaka
 
taarifa zinaweza kuwepo endapo baada ya kufunga ndoa kanisani mlienda kuisajiri serikalini otherwise unaweza kuta kumbukumbu zipo kwa katekista tu na kwa paroko...jifunzeni....
 
Vyeti viwili vya ndoa? Cha kidini na Serikali? Hii ni habari mpya kwangu! Dini gani wanafanya hivyo?
siyo dini ni nyie wanandoa baada ya kutoka honeymoon mnaenda kuisajili serikalini hasa mkitaka kubadilisha ubini wa muolewaji
 
Wewe hujafuatilia huyo Mama anacholilia 100M sio ugoni anacholilia ni ndoa ya pili kwamba Prof amefunga ndoa ya pili amlipe 100M, rudia tena kusoma acha kukaza fuvu hilo la ugoni limemuongezea uzito tu Ila anacholilia ni kwamba Prof kafunga ndoa ya pili amlipe 100M, elewa ndio ukosoe, yaan unataka kusema amemfuma ugoni ndio amlipe 100M? Jichunguze
huyu mbona kama Bank Teller kwa majibu yake... hahahahahahah
 
Mfano kama waliyopo kwenye ndoa
Hawana maelewano mazuri
Na wanataka pigana chini mahakamani kwa makubaliano,waliyoafikiana wao wenyewe.....
Kila mmoja anaweza tumia mwanasheria wake,baada ya kuafikiana kuna kitu wanatengeneza kinaitwa deed of settlement,ina draftiwa na kuandika walichokubaliana wana sign wote wawili,inapelekwa mahakamani...inakuwa registered
Mahakama itaipitia mahakama ikiridhia inatoa talaka...tena hii ni njiaa
Fupi no stress,sema sasa lazima wote waridhiane kuachana kiroho safi

Ova
Sasa unakuta mmoja ndio anahitaji kuvunja na mwingine hayupo ready na unakuta yeye ndio tatizo
 
Back
Top Bottom