Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Kesi kama hizi ushahidi wake huwa haupatikani kirahisi kama mnavyodhani. Itapigwa kalenda kwa miaka mingi hatimaye itafutwa kwa kukosa ushahidi. Huyu mwanamke aliyefungua kesi hana akili. Yeye anashindwa kuwajibika kwa mumewe kumgawia mbunye ipasavyo lakini anamzuia asioe? Mpuuzi mkubwa! Mwanamke asiyekuwa na akili huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Hii haipo kwenye sheria za jinai wala sheria zozote hapa nchini. Huyu mwanmke atahangaika weeeeee, mwishowe kesei itatupiliwa mbali!
Kesi za hivi ni kupotezeana muda tu, utakanyaga mahakamani mpaka basi, na wakili kama huna hela anakuacha kwenye mataa uhangaike mwenyewe. Unakuta kesi inachukua miaka hata 5
 
Hamna kesi hapo

Kuna kesi Mkuu hapo.
Kwa Sheria yetu ya ndoa na Kwa Mila na desturi zetu mwanaume ndiye anaoa na anatoa gharama
Sana sana kama mwanaume ukimfumania mke wako unaweza kudai fidia na mara nyingi inakuwa ni Ile gharama ya mahali iliyotolewa .
Huyo mwanamke anachoweza kudai na kufidiwa ni mahakama kutoa talaka na kuamua kugawanywa sawa Kwa Mali walizochuma wakiwa wenza na huyo prof.
Ila fidia ya pesa no.
Hapo mwanasheria wake amuelekeze vizuri , adai talaka na mgawanyo wa Mali tu
 

Kama hakuna ushahidi wa adultery kufanyika kesi itakuwa ngumu.
Inawezekana wameoana tu ila hawajafanya tendo.
Inatakiwa kuwe na ushahidi wa yeye kuwafumania wakifanya tendo la ndoa.
Sana sana adai talaka na kama ndoa yao ni ya kikristo mahakama itarudisha suala hilo kanisani .
Matrimonial cases are so complicated hususani hizi za kikristu
 
Awaka
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Halafu watu wakiuana mnasema watu waache ukatili. Toeni upuuzi watu waachane mapema wakitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…