Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Akizipata kuna kijana ataenda kuzila nina uhakika huo.Tulia Matrida apate 100m za boya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Akizipata kuna kijana ataenda kuzila nina uhakika huo.Tulia Matrida apate 100m za boya.
Kesi kama hizi ushahidi wake huwa haupatikani kirahisi kama mnavyodhani. Itapigwa kalenda kwa miaka mingi hatimaye itafutwa kwa kukosa ushahidi. Huyu mwanamke aliyefungua kesi hana akili. Yeye anashindwa kuwajibika kwa mumewe kumgawia mbunye ipasavyo lakini anamzuia asioe? Mpuuzi mkubwa! Mwanamke asiyekuwa na akili huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shitaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret.
Akizungumza nje ya Mahakama hiyo jana, wakili wa mlalamikaji Emmanuel Chengulo alisema kesi hiyo ilifunguliwa Desemba 16, 2022 na ilitajwa kwa mara ya kwanza Januari 23, 2023 mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Emmanuel Lukumai.
Aidha, wakili Chengulo amesema katika shitaka hilo Matrida Sigaleti anawashitaki Profesa Kasanga ambaye ni mume wake wa ndoa na Linael kwa kesi ya Ugoni dhidi yao.
"Kimsingi mteja wangu anadai kulipwa fidia ya shilingi milioni 100 kutokana na madhara ambayo ameyapata," alisema.
Wakili huyo alisema kuwa Oktoba 29, 2022 inadaiwa washitakiwa hao walifunga ndoa huku kukiwa bado kuna ndoa nyingine ya mlalamikaji ambaye ni Matrida na Profesa Kasanga.
Kwa upande wa washitakiwa ambaye ni Profesa Kasanga na Linael Makundi wanatetewa wa wakili Asifiwe Alinanuswe ambaye alipotakiwa kuzungumzia shitaka hilo alisema hajapewa maelekezo ya kuzungumzia kesi hiyo kutoka kwa mteja wake.
"Kwanza ningejua kuna waandishi ningeweka zuio la waandishi kupata taarifa hizi, hivyo kaandikeni mlichopata kwa wakili huyo mwingine, wateja wangu hawajanipa maelekezo ya kuzungumza nanyi," alisema.
Hakimu Mfawidhi Lukumai ameahirisha kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kuweka pingamizi la kutaka kesi hiyo isikilizwe faragha na imepangwa kuanza kusikilizwa kwa pingamizi hilo Februari 21, 2023.
Hii haipo kwenye sheria za jinai wala sheria zozote hapa nchini. Huyu mwanmke atahangaika weeeeee, mwishowe kesei itatupiliwa mbali!Ugoni ndio nini?
Duu hii comment ngumu🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ila mimama ya nyumbani inakuwaga jau sana, lenyewe likishapika michicha yake na ugali linashinda na makanga ukichanganya na visirani na ubishi wa kiha basi burudani
Kesi za hivi ni kupotezeana muda tu, utakanyaga mahakamani mpaka basi, na wakili kama huna hela anakuacha kwenye mataa uhangaike mwenyewe. Unakuta kesi inachukua miaka hata 5Hii haipo kwenye sheria za jinai wala sheria zozote hapa nchini. Huyu mwanmke atahangaika weeeeee, mwishowe kesei itatupiliwa mbali!
Hamna kesi hapo
Wengi wanapotezaga mvuto ila cha ajabu haijasemekana kama wana watoto au lah kitu ambacho naona ndio huenda kikawa kiini cha mgogoro huoDuu hii comment ngumu
Uzinzi ni Sifa Tukuka na Nzuri kwa Mwanaume yoyote yule aliye Rijali na nampongeza Profesa kwa kuwa Mzinzi kama ulivyoandika hapa.Mahaba haya....profesa Mzinzi
The Law of Marriage Act 1971 (72)
72. Right to damages for adultery
(1) A husband or wife may baring a suit for damages against any person with
whom his or her spouse has committed adultery:
Provided that no such proceeding shall lie–
(a) where the aggrieved party has consented to or connived at the adultery;
(b) where damages in respect of the alleged adultery have been claimed in a
petition for divorce.
(2) A suit brought under this section shall be dismissed if the defendant satisfied
the court that he or she did not know and could not, by the exercise of reasonable
diligence, have known that the person with whom he or she committed the act of
adultery was married.
Lazima baada ya kufunga kwa wakala uisajili ndoa yako serikalini upate cheti cha ndoa...Kile cha wakala si cheti cha ndoa ni uthibitisho ndoa imefungwa....
[/QUOT
Mawakala Kwa mjibu wa taratibu wanatakiwa waende RITA kuchukua vyeti vya ndoa.
Makanisa siku hizi wakikufungisha ndoa wanakupa cheti cha kanisa na cha serikali au wanatoa cheti cha serikali tu.
RITA wanasajili vizazi,vifo,ndoa, na talaka pamoja na kuhifadhi wosia na kusimamia utekelezaji wake mtu anapofariki ( mwenye wosia) .
Pamoja na kisimamia Mali zisizo na warithi na kusajili wakfu.
Ndoa zote lazima zisajiliwe RITA Kwa mjibu wa Sheria.
Ndoa za kimila nazo zinatakiwa kusajiliwa RITA
Mnyamwezi kapiga mlege haelewi 😆
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Halafu watu wakiuana mnasema watu waache ukatili. Toeni upuuzi watu waachane mapema wakitakaKama hakuna ushahidi wa adultery kufanyika kesi itakuwa ngumu.
Inawezekana wameoana tu ila hawajafanya tendo.
Inatakiwa kuwe na ushahidi wa yeye kuwafumania wakifanya tendo la ndoa.
Sana sana adai talaka na kama ndoa yao ni ya kikristo mahakama itarudisha suala hilo kanisani .
Matrimonial cases are so complicated hususani hizi za kikristu
Mabox 100 ya sigara unajua ni shs ngapi lakn 😁Labda alipwe mabox 100 ya cigarettes Ila sio million 100, 😆