FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hiyo miaka 10 alikuwa analipa kodi ya nyumba au alikuwa analala bure? , Hiyo miaka 10 alikiwa analishwa au alikuwa analazwa njaa? Hiyo miaka 10 watoto wake wamesomeshwa au wameachwa wawe machokoraa? Nini limzuia kujenga nyumba zake hadi ategemee za mwenzake?Lakini atakuwa amepata kifuta machozi. Miaka 10 ya kuchakatwa halafu aambulie patupu?
Mwamba huyu hapaUzinzi ni Sifa Tukuka na Nzuri kwa Mwanaume yoyote yule aliye Rijali na nampongeza Profesa kwa kuwa Mzinzi kama ulivyoandika hapa.
Acha awakaze Mkuu hadi Wamkome.
Box lenye cigarettes 20 za Embassy ni 4000/- tu bei ya Jumla hioMabox 100 ya sigara unajua ni shs ngapi lakn 😁
Ukishaona jina "makundi" tu jua kuna mngoni hapo, wangoni na hii kitu katikati ya mapaja hua inawasumbua sana. ni kosa la jinai kufunga ndoa kama awali ulishawahi kufunga ndoa ya mke mmoja, kabla ile ya awali haijavunjwa, na kufanya hivyo kunafanya ndoa ile ya pili kuwa batili ni kama hapajafanyika chochote, hakuna ndoa hapo. ujinai unakuja pale unapodanganya kwa mfungishaji kwamba haupo kwenye ndoa inayoendelea kumbe unayo ndoa ambayo haijavunjwa.Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret.
Akizungumza nje ya Mahakama hiyo jana, wakili wa mlalamikaji Emmanuel Chengulo alisema kesi hiyo ilifunguliwa Desemba 16, 2022 na ilitajwa kwa mara ya kwanza Januari 23, 2023 mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Emmanuel Lukumai.
Aidha, wakili Chengulo amesema katika shtaka hilo Matrida Sigaleti anawashtaki Profesa Kasanga ambaye ni mume wake wa ndoa na Linael kwa kesi ya Ugoni dhidi yao.
"Kimsingi mteja wangu anadai kulipwa fidia ya shilingi milioni 100 kutokana na madhara ambayo ameyapata," alisema.
Wakili huyo alisema kuwa Oktoba 29, 2022 inadaiwa washtakiwa hao walifunga ndoa huku kukiwa bado kuna ndoa nyingine ya mlalamikaji ambaye ni Matrida na Profesa Kasanga.
Kwa upande wa washtakiwa ambaye ni Profesa Kasanga na Linael Makundi wanatetewa wa wakili Asifiwe Alinanuswe ambaye alipotakiwa kuzungumzia shtaka hilo alisema hajapewa maelekezo ya kuzungumzia kesi hiyo kutoka kwa mteja wake.
"Kwanza ningejua kuna waandishi ningeweka zuio la waandishi kupata taarifa hizi, hivyo kaandikeni mlichopata kwa wakili huyo mwingine, wateja wangu hawajanipa maelekezo ya kuzungumza nanyi," alisema.
Hakimu Mfawidhi Lukumai ameahirisha kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kuweka pingamizi la kutaka kesi hiyo isikilizwe faragha na imepangwa kuanza kusikilizwa kwa pingamizi hilo Februari 21, 2023.
profesa alipe tu hamna namnaProfesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret.
Akizungumza nje ya Mahakama hiyo jana, wakili wa mlalamikaji Emmanuel Chengulo alisema kesi hiyo ilifunguliwa Desemba 16, 2022 na ilitajwa kwa mara ya kwanza Januari 23, 2023 mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Emmanuel Lukumai.
Aidha, wakili Chengulo amesema katika shtaka hilo Matrida Sigaleti anawashtaki Profesa Kasanga ambaye ni mume wake wa ndoa na Linael kwa kesi ya Ugoni dhidi yao.
"Kimsingi mteja wangu anadai kulipwa fidia ya shilingi milioni 100 kutokana na madhara ambayo ameyapata," alisema.
Wakili huyo alisema kuwa Oktoba 29, 2022 inadaiwa washtakiwa hao walifunga ndoa huku kukiwa bado kuna ndoa nyingine ya mlalamikaji ambaye ni Matrida na Profesa Kasanga.
Kwa upande wa washtakiwa ambaye ni Profesa Kasanga na Linael Makundi wanatetewa wa wakili Asifiwe Alinanuswe ambaye alipotakiwa kuzungumzia shtaka hilo alisema hajapewa maelekezo ya kuzungumzia kesi hiyo kutoka kwa mteja wake.
"Kwanza ningejua kuna waandishi ningeweka zuio la waandishi kupata taarifa hizi, hivyo kaandikeni mlichopata kwa wakili huyo mwingine, wateja wangu hawajanipa maelekezo ya kuzungumza nanyi," alisema.
Hakimu Mfawidhi Lukumai ameahirisha kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kuweka pingamizi la kutaka kesi hiyo isikilizwe faragha na imepangwa kuanza kusikilizwa kwa pingamizi hilo Februari 21, 2023.
Hii habari haijakaa vizuri mume akichepuka inakuwa UGONI? Kama mgoni anakuwa huyo aliyechepuka na mume/mke wa mtu.!! Itakuwa anapinga ndoa ya pili kuwa siyo halali na kama mgoni ni mwanamke mwenzake siyo mumewe, kichwa cha habari hakijakaa sawa. Mgoni maana yake umefumaniwa na mume au mke wa mtu na mwenye mume au mke anakushitaki kukudai fidia kwa kuchepuka na mke au mumewe, mke hawezi kumshitaki mumewe kwa ugoni. Anaweza kushitaki kuomba talaka na uzinzi/kukosa uaminifu (infidelity) ikawa sababu mojawapo ya kuomba hiyo talaka.Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret.
Akizungumza nje ya Mahakama hiyo jana, wakili wa mlalamikaji Emmanuel Chengulo alisema kesi hiyo ilifunguliwa Desemba 16, 2022 na ilitajwa kwa mara ya kwanza Januari 23, 2023 mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Emmanuel Lukumai.
Aidha, wakili Chengulo amesema katika shtaka hilo Matrida Sigaleti anawashtaki Profesa Kasanga ambaye ni mume wake wa ndoa na Linael kwa kesi ya Ugoni dhidi yao.
"Kimsingi mteja wangu anadai kulipwa fidia ya shilingi milioni 100 kutokana na madhara ambayo ameyapata," alisema.
Wakili huyo alisema kuwa Oktoba 29, 2022 inadaiwa washtakiwa hao walifunga ndoa huku kukiwa bado kuna ndoa nyingine ya mlalamikaji ambaye ni Matrida na Profesa Kasanga.
Kwa upande wa washtakiwa ambaye ni Profesa Kasanga na Linael Makundi wanatetewa wa wakili Asifiwe Alinanuswe ambaye alipotakiwa kuzungumzia shtaka hilo alisema hajapewa maelekezo ya kuzungumzia kesi hiyo kutoka kwa mteja wake.
"Kwanza ningejua kuna waandishi ningeweka zuio la waandishi kupata taarifa hizi, hivyo kaandikeni mlichopata kwa wakili huyo mwingine, wateja wangu hawajanipa maelekezo ya kuzungumza nanyi," alisema.
Hakimu Mfawidhi Lukumai ameahirisha kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kuweka pingamizi la kutaka kesi hiyo isikilizwe faragha na imepangwa kuanza kusikilizwa kwa pingamizi hilo Februari 21, 2023.
Kwa hiyo hapa anayeshtakiwa kwa ugoni ni huyo mwanamke, siyo professa.....Hii habari haijakaa vizuri mume akichepuka inakuwa UGONI? Kama mgoni anakuwa huyo aliyechepuka na mume/mke wa mtu.!! Itakuwa anapinga ndoa ya pili kuwa siyo halali na kama mgoni ni mwanamke mwenzake siyo mumewe, kichwa cha habari hakijakaa sawa. Mgoni maana yake umefumaniwa na mume au mke wa mtu na mwenye mume au mke anakushitaki kukudai fidia kwa kuchepuka na mke au mumewe, mke hawezi kumshitaki mumewe kwa ugoni. Anaweza kushitaki kuomba talaka na uzinzi/kukosa uaminifu (infidelity) ikawa sababu mojawapo ya kuomba hiyo talaka.
Yeye huyo bwana haja sacrifice muda wake kwa huyo bibi? acha kuni zimuwakie ili wengine mtie akili...Mhh hamjui huyo bibi venye ame sacrifice muda wake kwa huyo bwana....
Tupia picha ya huyo mrembo wa kichagga for reference.Wote si wachagga!!
Nzuri.
Mkuu IPO tangu dahari!!!Hivi kumbe ugoni unaweza kudai fidia na ukalipwa?
Ukipata na picha za wanawake usisite kuzileta, maana uzi mrefuu bila picha ...
Hata mimi nimejiulizaMbona kadai pesa kiduchu hivyo? Hili ni swala kuharibiwa hadhi na maisha yake.... Alitakiwa aanzie 0.5bn au hata 1bn .
Ningekuwa mimi ni huyo Kissanga hiyo 0.1bn ningempa bila hata ya kwenda mahakamani.
Jiandae kulipa fidia!Huyo cigareti anang'ang'ania nini? Kama huna mvuto. Ambaa
Ndio adhabu pekee chini ya kudhalilishwa nk ila sio kufungwaHivi kumbe ugoni unaweza kudai fidia na ukalipwa?
Matilda haachiki kizembe.Ukiachwa achika Matrida!...
Ndio maana Sina Mpango wa ndoa hapa DunianiMahaba haya....profesa Mzinzi