Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Lakini atakuwa amepata kifuta machozi. Miaka 10 ya kuchakatwa halafu aambulie patupu?
Hiyo miaka 10 alikuwa analipa kodi ya nyumba au alikuwa analala bure? , Hiyo miaka 10 alikiwa analishwa au alikuwa analazwa njaa? Hiyo miaka 10 watoto wake wamesomeshwa au wameachwa wawe machokoraa? Nini limzuia kujenga nyumba zake hadi ategemee za mwenzake?

Kuchakatwa ni tendo la starehe, kama alikuwa anapewa starehe willingly shida ipo wapi? Mbona wasipochakatwa wanachepuka?
 
Uzinzi ni Sifa Tukuka na Nzuri kwa Mwanaume yoyote yule aliye Rijali na nampongeza Profesa kwa kuwa Mzinzi kama ulivyoandika hapa.
Mwamba huyu hapa
citations.jpeg

Hamna namna
 
Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret.

Akizungumza nje ya Mahakama hiyo jana, wakili wa mlalamikaji Emmanuel Chengulo alisema kesi hiyo ilifunguliwa Desemba 16, 2022 na ilitajwa kwa mara ya kwanza Januari 23, 2023 mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Emmanuel Lukumai.

Aidha, wakili Chengulo amesema katika shtaka hilo Matrida Sigaleti anawashtaki Profesa Kasanga ambaye ni mume wake wa ndoa na Linael kwa kesi ya Ugoni dhidi yao.

"Kimsingi mteja wangu anadai kulipwa fidia ya shilingi milioni 100 kutokana na madhara ambayo ameyapata," alisema.

Wakili huyo alisema kuwa Oktoba 29, 2022 inadaiwa washtakiwa hao walifunga ndoa huku kukiwa bado kuna ndoa nyingine ya mlalamikaji ambaye ni Matrida na Profesa Kasanga.

Kwa upande wa washtakiwa ambaye ni Profesa Kasanga na Linael Makundi wanatetewa wa wakili Asifiwe Alinanuswe ambaye alipotakiwa kuzungumzia shtaka hilo alisema hajapewa maelekezo ya kuzungumzia kesi hiyo kutoka kwa mteja wake.

"Kwanza ningejua kuna waandishi ningeweka zuio la waandishi kupata taarifa hizi, hivyo kaandikeni mlichopata kwa wakili huyo mwingine, wateja wangu hawajanipa maelekezo ya kuzungumza nanyi," alisema.

Hakimu Mfawidhi Lukumai ameahirisha kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kuweka pingamizi la kutaka kesi hiyo isikilizwe faragha na imepangwa kuanza kusikilizwa kwa pingamizi hilo Februari 21, 2023.
Ukishaona jina "makundi" tu jua kuna mngoni hapo, wangoni na hii kitu katikati ya mapaja hua inawasumbua sana. ni kosa la jinai kufunga ndoa kama awali ulishawahi kufunga ndoa ya mke mmoja, kabla ile ya awali haijavunjwa, na kufanya hivyo kunafanya ndoa ile ya pili kuwa batili ni kama hapajafanyika chochote, hakuna ndoa hapo. ujinai unakuja pale unapodanganya kwa mfungishaji kwamba haupo kwenye ndoa inayoendelea kumbe unayo ndoa ambayo haijavunjwa.
 
Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret.

Akizungumza nje ya Mahakama hiyo jana, wakili wa mlalamikaji Emmanuel Chengulo alisema kesi hiyo ilifunguliwa Desemba 16, 2022 na ilitajwa kwa mara ya kwanza Januari 23, 2023 mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Emmanuel Lukumai.

Aidha, wakili Chengulo amesema katika shtaka hilo Matrida Sigaleti anawashtaki Profesa Kasanga ambaye ni mume wake wa ndoa na Linael kwa kesi ya Ugoni dhidi yao.

"Kimsingi mteja wangu anadai kulipwa fidia ya shilingi milioni 100 kutokana na madhara ambayo ameyapata," alisema.

Wakili huyo alisema kuwa Oktoba 29, 2022 inadaiwa washtakiwa hao walifunga ndoa huku kukiwa bado kuna ndoa nyingine ya mlalamikaji ambaye ni Matrida na Profesa Kasanga.

Kwa upande wa washtakiwa ambaye ni Profesa Kasanga na Linael Makundi wanatetewa wa wakili Asifiwe Alinanuswe ambaye alipotakiwa kuzungumzia shtaka hilo alisema hajapewa maelekezo ya kuzungumzia kesi hiyo kutoka kwa mteja wake.

"Kwanza ningejua kuna waandishi ningeweka zuio la waandishi kupata taarifa hizi, hivyo kaandikeni mlichopata kwa wakili huyo mwingine, wateja wangu hawajanipa maelekezo ya kuzungumza nanyi," alisema.

Hakimu Mfawidhi Lukumai ameahirisha kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kuweka pingamizi la kutaka kesi hiyo isikilizwe faragha na imepangwa kuanza kusikilizwa kwa pingamizi hilo Februari 21, 2023.
profesa alipe tu hamna namna
 
Hii habari haijakaa vizuri mume akichepuka inakuwa UGONI? Kama mgoni anakuwa huyo aliyechepuka na mume/mke wa mtu.!! Itakuwa anapinga ndoa ya pili kuwa siyo halali na kama mgoni ni mwanamke mwenzake siyo mumewe, kichwa cha habari hakijakaa sawa. Mgoni maana yake umefumaniwa na mume au mke wa mtu na mwenye mume au mke anakushitaki kukudai fidia kwa kuchepuka na mke au mumewe, mke hawezi kumshitaki mumewe kwa ugoni. Anaweza kushitaki kuomba talaka na uzinzi/kukosa uaminifu (infidelity) ikawa sababu mojawapo ya kuomba hiyo talaka.
 
Kwa hiyo hapa anayeshtakiwa kwa ugoni ni huyo mwanamke, siyo professa.....
 
JUMANNE , 24TH JAN , 2023

Mahakama ya wilaya ya Morogoro imempandisha kizimbani Profesa Christopher Kasanga wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa shtaka la ugoni baada ya kufunga ndoa ya pili kwa siri na mwanamke mwingine Oktoba 29 mwaka 2022

Profesa Christopher Kasanga, akiwa na mke wake aliyemuoa kwa siri

Imeelezwa kuwa kesi hiyo ya madai namba 57/2022 imefunguliwa Desemba 16, 2022 na Matlida Sigareti dhidi ya mumewe Profesa Christopher Kasanga ambaye wamefunga ndoa miaka 25 iliyopita.

Bi. Matlida amelazimika kufungua keshi hiyo baada ya kubaini mume wake Profesa Kasanga kufunga ndoa nyingine kwa siri na mwanamke mwingine anayefahamika kwa jina la Linael Makundi ambaye ni mfanyakazi wa Benki ya CRDB.Mjini Morogoro.

Kesi hiyo inasikilizwa chini ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya wilaya ya Morogoro Emmael Lukumai, ambapo katika upande wa mashtaka kesi hiyo inasimamiwa na wakili Emmanuel Chengula na Gervas Semgabo wakati upande wa utetezi ikisimamiwa na wakili Asifiwe Alinanuswe.

Akizungumza nje ya mahakama hiyo Wakili wa mlalamikaji Emmanuel Chengula amesema kesi hiyo imesikilizwa kwa mara ya kwanza mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo ambapo mteja wake ambaye ni Matlida Sigareti anadai kulipwa fidia ya shilingi milioni 100 za Kitanzania kutokana na madhara ambayo ameyapata.

Kwa upande wake Wakili wa utetezi Asifiwe Alinanuswe alipotakiwa kuzungumzia shtaka hilo alisema hajapewa maelekezo ya kuzungumzia kesi hiyo kutoka kwa mteja wake.

Hata hivyo, Hakimu Mfawidhi Lukumai ameahirisha kesi hiyo baada ya upande wa utetetezi kuweka pingamizi la kutaka kesi hiyo isikilizwe faragha ambapo imepangwa kusikilizwa tena Februari 21 mwaka huu.
 
Mbona kadai pesa kiduchu hivyo? Hili ni swala kuharibiwa hadhi na maisha yake.... Alitakiwa aanzie 0.5bn au hata 1bn .
Ningekuwa mimi ni huyo Kissanga hiyo 0.1bn ningempa bila hata ya kwenda mahakamani.
Hata mimi nimejiuliza
 
Back
Top Bottom