Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Wanawake wake bwana wamekuwa wabinafsi sana yaani mtu mpo kwenye ndoa analeta jeuri mzigo hatoi mpaka umbembeleze kibri juu na visa kibao anakwambia we ukitaka oa tu unaamua kuachana nae unaoa mwingine anakuja anadai eti ni mke wako yaani wanawake wakiendelea hivi kuiga sheria za kimagharibi watakuja kupata tabu sana kwa baadae kwa bara la afrika kwa ujinga wao huu.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mmoja ni Muha kaachana na mume wake, katembea mahakamani wee mwaka wa 6 huu, hajaambulia kitu. Kaenda kuloga sana lakini kakutana na mwamba. Yeye ndie aliomba talaka kwa kudanganywa na mashost eti watagawana pasu kwa pasu.
 
Sasa mbona hakuna ugoni wowote hapo! Nilichogundua, Matilda Sigaret ni mwanamke mtata (pilipili)! Na asiyetaka kukubali matokeo.

Bora angewekeza nguvu zake kwenye kugawana mali na huyo Profesa (kama waliishi pamoja). Badala ya kutaka kulipwa hela za bure.
Angegawana bila talaka?
 
ndo maana mie sitaki ndoa nikukubaliana tuu baaasi
Kuna jamaa humu wana ka msemo kao kwamba 'mwanaume kataa kabisa ndoa' sasa sijui ndo kutokana na ishu kama hizi.
Daaa! nimmeipenda sana hiyo!! na umeniongezea slogan mwana yaani.............mbona watakomaaa.......naomba uwanachama huko huenda ntapata mengi! kesho nakuja Bongo!
 
Wewe hujamuelewa amemaanisha nini amekwambia vyeti vinavyotolewa kanisani, misikitini, bomani vinatolewa na Serikali na vinatambuliwa na Serikali km vyeti halali vya Ndoa au alifoji cheti?
Na
Fidia ya nini MADAM T ? Kwani Prof. Katelekeza watoto? Kwanza kabisa ugoni between two consenting adults sio offence Tanzania. Cigarete atafute tu wa kumtuliza. Toto la Marangu lilishamzidi mbinu za kulea wahenga.
Namtakia cigareti maisha mema ya u single. Na Kama Hana mvuto imekula kwake.
Nilifikiri wewe ni mwanaume kumbe ni mwanaume, sorry.
 
Upo sahihi mama Matrida ana njaa ya pesa, kashachoka umeachwa pita njia ya kushoto

Asisahau kwamba Mwanaume hafumaniwi
Aliyekudanganya mme hafumaniwi ni nani. Wewe una mawazo dume yasiyotambua usawa wa mme na mke. Hao wawili kuna uwezekano mkubwa waliooana ndoa ya kanisa ambayo "automatically" i mme mmpja mke mmoja. Fidia ya ugoni TZ ni legal na baada ya kutwangwa na fidia ya ugpni kunakuja mgawano wa mali. Huyo mama hizo zote ni haki zake. Hapo Mmarangu kama alifuata pesa, sehemu kubwa itakuwa imenyofolewa na mtalaka. Kama ana watoto wadogo na kapewa mtalaka kuwatunza, Prof atakumbwa na "child support" na sheria inasema watoto waishi maisha ya hadhi ya baba yao, kwa hiyo child support itakuwa kubwa. Hapo iko kazi with a lot of financial liability.
 
Huyu mwanamke anayedai fidia ya mil. Mia.
Ni ya nini? Mume akioa yeye inamhusu nini? Mimi namshangaa Sana. Kwani alipewa talaka? Si Ni majukumu yake ya kumlea mume yalimshinda ndio mume akavuta chombo imara, yaani kwa uzembe wake alipwe?
Naombeni simu yake nimuelimishe.
 
Kwa hio akifumwa mwanamke nae anaambiwa alipe fidia ya million 100 au sio? Au hii sheria ni kwa mwanaume tu aliefumwa ugoni?

Km kuna rejea ya kesi ya mwanaume akiomba fidia kwa kumfuma mkewe ugoni naomba kuijua,
 
Huyu mwanamke anayedai fidia ya mil. Mia.
Ni ya nini? Mume akioa yeye inamhusu nini? Mimi namshangaa Sana. Kwani alipewa talaka? Si Ni majukumu yake ya kumlea mume yalimshinda ndio mume akavuta chombo imara, yaani kwa uzembe wake alipwe?
Naombeni simu yake nimuelimishe.
Sheria inasema hivyo Ila sijawahi kuona kesi ya mwanaume anaedai fidia kisa kamfuma mkewe na mwanaume mwingine, km umeiona naomba unijulishe
 
Kesi kama hizi ushahidi wake huwa haupatikani kirahisi kama mnavyodhani. Itapigwa kalenda kwa miaka mingi hatimaye itafutwa kwa kukosa ushahidi. Huyu mwanamke aliyefungua kesi hana akili. Yeye anashindwa kuwajibika kwa mumewe kumgawia mbunye ipasavyo lakini anamzuia asioe? Mpuuzi mkubwa! Mwanamke asiyekuwa na akili huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Ulipokosa mbunye ulienda kushtaki wapi???
 
Back
Top Bottom