mwita mutundi
Senior Member
- Oct 27, 2022
- 188
- 305
Prof namjua personal ni mtu humble sana prof kassanga nalo hili litapita yuko vet pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmoja ni Muha kaachana na mume wake, katembea mahakamani wee mwaka wa 6 huu, hajaambulia kitu. Kaenda kuloga sana lakini kakutana na mwamba. Yeye ndie aliomba talaka kwa kudanganywa na mashost eti watagawana pasu kwa pasu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmh huku Bara ugoni siyo jinai bana, labda huko ZenjiProf ana kesi zaidi ya moja hapo (Madai+Jinai).
Kwani anataka kurudiwa?Haya wakigawana 3 each, mapenzi yatarudi? Non sense.... na nakuhakikishia huyo Matrida ataachwa Solemba!!
Angegawana bila talaka?Sasa mbona hakuna ugoni wowote hapo! Nilichogundua, Matilda Sigaret ni mwanamke mtata (pilipili)! Na asiyetaka kukubali matokeo.
Bora angewekeza nguvu zake kwenye kugawana mali na huyo Profesa (kama waliishi pamoja). Badala ya kutaka kulipwa hela za bure.
Madai: fidia (ugoni),Mmh huku Bara ugoni siyo jinai bana, labda huko Zenji
Acha kuhemuka basi.....Kwani anataka kurudiwa?
Hivi huwa hamna akili au?
Daaa! nimmeipenda sana hiyo!! na umeniongezea slogan mwana yaani.............mbona watakomaaa.......naomba uwanachama huko huenda ntapata mengi! kesho nakuja Bongo!Kuna jamaa humu wana ka msemo kao kwamba 'mwanaume kataa kabisa ndoa' sasa sijui ndo kutokana na ishu kama hizi.
We utasema ngapiAkilipwa huyu Sigareti hiyo milioni 100 na mm navunja yangu
NaWewe hujamuelewa amemaanisha nini amekwambia vyeti vinavyotolewa kanisani, misikitini, bomani vinatolewa na Serikali na vinatambuliwa na Serikali km vyeti halali vya Ndoa au alifoji cheti?
Nilifikiri wewe ni mwanaume kumbe ni mwanaume, sorry.Fidia ya nini MADAM T ? Kwani Prof. Katelekeza watoto? Kwanza kabisa ugoni between two consenting adults sio offence Tanzania. Cigarete atafute tu wa kumtuliza. Toto la Marangu lilishamzidi mbinu za kulea wahenga.
Namtakia cigareti maisha mema ya u single. Na Kama Hana mvuto imekula kwake.
Ikiwezekana afagie hiyo branch yote...
Lazima wachoke...Wanatombwa sana....Wanawake sahv wakifika 25 washachoka [emoji1]
Ova
Aliyekudanganya mme hafumaniwi ni nani. Wewe una mawazo dume yasiyotambua usawa wa mme na mke. Hao wawili kuna uwezekano mkubwa waliooana ndoa ya kanisa ambayo "automatically" i mme mmpja mke mmoja. Fidia ya ugoni TZ ni legal na baada ya kutwangwa na fidia ya ugpni kunakuja mgawano wa mali. Huyo mama hizo zote ni haki zake. Hapo Mmarangu kama alifuata pesa, sehemu kubwa itakuwa imenyofolewa na mtalaka. Kama ana watoto wadogo na kapewa mtalaka kuwatunza, Prof atakumbwa na "child support" na sheria inasema watoto waishi maisha ya hadhi ya baba yao, kwa hiyo child support itakuwa kubwa. Hapo iko kazi with a lot of financial liability.Upo sahihi mama Matrida ana njaa ya pesa, kashachoka umeachwa pita njia ya kushoto
Asisahau kwamba Mwanaume hafumaniwi
Kwa hio akifumwa mwanamke nae anaambiwa alipe fidia ya million 100 au sio? Au hii sheria ni kwa mwanaume tu aliefumwa ugoni?Aliyekudanganya mme hafumaniwi ni nani. Wewe una mawazo dume yasiyotambua usawa wa mme na mke. Hao wawili kuna uwezekano mkubwa waliooana ndoa ya kanisa ambayo "automatically" i mme mmpja mke mmoja. Fidia ya ugoni TZ ni legal na baada ya kutwangwa na fidia ya ugpni kunakuja mgawano wa mali. Huyo mama hizo zote ni haki zake. Hapo Mmarangu kama alifuata pesa, sehemu kubwa itakuwa imenyofolewa na mtalaka. Kama ana watoto wadogo na kapewa mtalaka kuwatunza, Prof atakumbwa na "child support" na sheria inasema watoto waishi maisha ya hadhi ya baba yao, kwa hiyo child support itakuwa kubwa. Hapo iko kazi with a lot of financial liability.
Sheria inasema hivyo Ila sijawahi kuona kesi ya mwanaume anaedai fidia kisa kamfuma mkewe na mwanaume mwingine, km umeiona naomba unijulisheHuyu mwanamke anayedai fidia ya mil. Mia.
Ni ya nini? Mume akioa yeye inamhusu nini? Mimi namshangaa Sana. Kwani alipewa talaka? Si Ni majukumu yake ya kumlea mume yalimshinda ndio mume akavuta chombo imara, yaani kwa uzembe wake alipwe?
Naombeni simu yake nimuelimishe.
Ulipokosa mbunye ulienda kushtaki wapi???Kesi kama hizi ushahidi wake huwa haupatikani kirahisi kama mnavyodhani. Itapigwa kalenda kwa miaka mingi hatimaye itafutwa kwa kukosa ushahidi. Huyu mwanamke aliyefungua kesi hana akili. Yeye anashindwa kuwajibika kwa mumewe kumgawia mbunye ipasavyo lakini anamzuia asioe? Mpuuzi mkubwa! Mwanamke asiyekuwa na akili huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.