Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Na watoto wa kimarangu walivyo soft kama midoli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Prof kamchakaza huyo Bibi titi limekua kama ndala akiligusa linabonyea kama samaki aliechina akaona usinitanie CRDB kuna mtoto chuchu inachungulia kwenye vishikizo vya shati zao uniform, ukigusa linavimba kaamua kusepa zake
 
Fidia Lazima atoe. Taka Ni process mpya. Na itabdi awe na sababu zinazokubalika.kisheria,
1. Cruelty;
2. Adultery;
3. Desertion.
Sababu mbona anazo, hiyo ya kufunga ndoa ili hali ana ndoa nyingine ni sababu tosha. Ila isije kuwa Prof alipeleka kesi mahakamani ikasikilizwa upande mmoja then talaka ikatoka.
 
Hivi Process za kuvunja ndoa zikoje? Na si inavunjwa Mahakamani? Na si ni lazima Wanandoa wote wakubali au hata Mwanandoa mmoja anaweza kuivunja?
Mfano kama waliyopo kwenye ndoa
Hawana maelewano mazuri
Na wanataka pigana chini mahakamani kwa makubaliano,waliyoafikiana wao wenyewe.....
Kila mmoja anaweza tumia mwanasheria wake,baada ya kuafikiana kuna kitu wanatengeneza kinaitwa deed of settlement,ina draftiwa na kuandika walichokubaliana wana sign wote wawili,inapelekwa mahakamani...inakuwa registered
Mahakama itaipitia mahakama ikiridhia inatoa talaka...tena hii ni njiaa
Fupi no stress,sema sasa lazima wote waridhiane kuachana kiroho safi

Ova
 
Mzee kwenye maelezo ya talaka uko deep lazima kuna kitu sio bure
 
Mfano kama waliyopo kwenye ndoa
Hawana maelewano mazuri
Na wanataka pigana chini mahakamani kwa makubaliano,waliyoafikiana wao wenyewe.....
Kila mmoja anaweza tumia mwanasheria wake,baada ya kuafikiana kuna kitu wanatengeneza kinaitwa deed of settlement,ina draftiwa na kuandika walichokubaliana wana sign wote wawili,inapelekwa mahakamani...inakuwa registered
Mahakama itaipitia mahakama ikiridhia inatoa talaka...tena hii ni njiaa
Fupi no stress,sema sasa lazima wote waridhiane kuachana kiroho safi

Ova
Hizi za hivi ni chache mno hapa bongo. Nyingi ni mtiti mtiti
 
Back
Top Bottom