Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Kwahiyo umeoa huko? Au fahari ya macho?Braza acha tu, sie tulioishi nao ndio tunajua utamu wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo umeoa huko? Au fahari ya macho?Braza acha tu, sie tulioishi nao ndio tunajua utamu wao
Na watoto wa kimarangu walivyo soft kama midoli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama mmojq hayuko tayari , haizuu kuvunja ndoa, ilimradi kuwe na sababu za msingiNa je kama aidha wanandoa wote au mmoja hayupo tayari kwa masuluhishi?
Fidia Lazima atoe. Talaka ni process mpya. Na itabdi awe na sababu zinazokubalika.kisheria,Baada ya ugoni ataomba talaka then mgawo
Niliwahi kufanya na baadhi yao project flani asee walikuwa wakija field wako na videmu vyaoProfessor Mgeni wa SUA aliuwawa kwa kula Watoto wa shule na wake Za watu. SUA ni chuo cha wapemba Chu…p
Ha ha ha hapo sawaSiku hizi inabidi kuwa makini maana ndoa zenyewe zimekuwa kama vifurushi vya simu, vinaisha muda wowote bila taarifa.
I meant akimalizana na fidia ya ugoni ataenda kwenye talaka ambapo mgawo utafataFidia Lazima atoe. Taka Ni process mpya. Na itabdi awe na sababu zinazokubalika.kisheria,
1. Cruelty;
2. Adultery;
3. Desertion.
Mvi hadi kwa bibiProf atakua alistuka hee kutaharuki mama kajaa mvi hadi kule kwingine kaona sasa hili balaa
Kivipi tenaMatirda bwege tu
Akisimama Nchale, akichuchumaa Nchale. Prof Lazima adate. Umalaya kazi aiseeI meant akimalizana na fidia ya ugoni ataenda kwenye talaka ambapo mgawo utafata
Sababu mbona anazo, hiyo ya kufunga ndoa ili hali ana ndoa nyingine ni sababu tosha. Ila isije kuwa Prof alipeleka kesi mahakamani ikasikilizwa upande mmoja then talaka ikatoka.Fidia Lazima atoe. Taka Ni process mpya. Na itabdi awe na sababu zinazokubalika.kisheria,
1. Cruelty;
2. Adultery;
3. Desertion.
Mfano kama waliyopo kwenye ndoaHivi Process za kuvunja ndoa zikoje? Na si inavunjwa Mahakamani? Na si ni lazima Wanandoa wote wakubali au hata Mwanandoa mmoja anaweza kuivunja?
Mvi hadi kwa bibi
Unaujua mshahara wao, huyo ni mkewe anajua kipato chake ha ha nawaza kwa sauti![emoji23]Hizo ml 100 prof anazo?
Mahakama itaamua sasaNa je kama aidha wanandoa wote au mmoja hayupo tayari kwa masuluhishi?
Mfano kama waliyopo kwenye ndoa
Hawana maelewano mazuri
Na wanataka pigana chini mahakamani kwa makubaliano,waliyoafikiana wao wenyewe.....
Kila mmoja anaweza tumia mwanasheria wake,baada ya kuafikiana kuna kitu wanatengeneza kinaitwa deed of settlement,ina draftiwa na kuandika walichokubaliana wana sign wote wawili,inapelekwa mahakamani...inakuwa registered
Mahakama itaipitia mahakama ikiridhia inatoa talaka...tena hii ni njiaa
Fupi no stress,sema sasa lazima wote waridhiane kuachana kiroho safi
Ova
🤣🤣🤣🤣🤣Prof akipenyeza mkono anakuta vitu vyeupe vigumu kama steelwire akaona usinitanie wewe achana na mimi
Hizi za hivi ni chache mno hapa bongo. Nyingi ni mtiti mtitiMfano kama waliyopo kwenye ndoa
Hawana maelewano mazuri
Na wanataka pigana chini mahakamani kwa makubaliano,waliyoafikiana wao wenyewe.....
Kila mmoja anaweza tumia mwanasheria wake,baada ya kuafikiana kuna kitu wanatengeneza kinaitwa deed of settlement,ina draftiwa na kuandika walichokubaliana wana sign wote wawili,inapelekwa mahakamani...inakuwa registered
Mahakama itaipitia mahakama ikiridhia inatoa talaka...tena hii ni njiaa
Fupi no stress,sema sasa lazima wote waridhiane kuachana kiroho safi
Ova
Hawana mushahara mikubwa kihivyo .Unaujua mshahara wao, huyo ni mkewe anajua kipato chake ha ha nawaza kwa sauti![emoji23]