Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Kina Matilda wengi wajitokeze wadai haki zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
in short bank teller hana tofauti na aliyoyaakanyaga mdogo wangu Jack wa Mengi hakuna atakachorithi anadanganywa tu.. naamini prof agewise ameshastaafu na hili sekeseke sijuiArusha ipo sana. Kijana (Rasta) mwenye ndoa (anakana Ndoa na mkewe mweusi) anajitongozesha kwa Mzungu wanaenda kwao Ulaya wanaoana na baada ya kumchuna mzungu ama anakimbia kurudi au mzungu anadanganywa kuwa yule mke ni dada na wale ni watoto wa dada. NJAA MBAYA SANA.
wapo wengi leo wamefumbuliwa tongotongo machoni tena mama Gwajima yupo hahahahahKina Matilda wengi wajitokeze wadai haki zao
Hapo labda tu huyo jamaa awe na utu. Japo ilipaswa ianze kuanzia day 1 amuandalie vitu vyake separate (Jack alianzishiwa mpaka Furniture centre ila ndo vile). Lakini, kwa nn wanawake hudhani wao ni wa kusaidiwa tu? huyo ndugu yako ni mlemavu asiyeweza kufanya kazi mpaka abaki kuuza nyapu kwa strangers?in short bank teller hana tofauti na aliyoyaakanyaga mdogo wangu Jack wa Mengi hakuna atakachorithi anadanganywa tu.. naamini prof agewise ameshastaafu na hili sekeseke sijui
Kesi ipo wazi haina uhai,Mkuu bila hata kutamka upo team gani kwenye hii kesi ila unajipamabanua live na tunashukuru
Kafanyaje?wapo wengi leo wamefumbuliwa tongotongo machoni tena mama Gwajima yupo hahahahah
Mahakama ndio itaamuaKesi ipo wazi haina uhai,
mimi ningemuona mdau amshauri bank teller na wengine kama bank teller waache kutafuta maisha yashortcut......watafute vijana wenzao watengeneze legacy yao na brand yao najua hata huyo bank teller angekuwa upande wa matilda siamini kama angekubali kuwa grounded hivyo.... kwa brand uliyoijenga toka ujana wako.Mkuu bila hata kutamka upo team gani kwenye hii kesi ila unajipamabanua live na tunashukuru
😆 Huwajui wanawake wewe, adui namba moja wa mwanamke ni mwanamkeLakini, kwa nn wanawake hudhani wao ni wa kusaidiwa tu? huyo ndugu yako ni mlemavu asiyeweza kufanya kazi mpaka abaki kuuza nyapu kwa strangers?
Na uamuzi upo wazi kesi haina muelekeo inaenda kufa,Mahakama ndio itaamua
Bank teller mshahara hauzidi 400,000/= TSH lini ataweza kununua plot, kujenga, IST na iPhone? Kipochi manyoya (ndoa za mchongo) ndio njia rahisi kufikia yote kwa muda mfupi.mimi ningemuona mdau amshauri bank teller na wengine kama bank teller waache kutafuta maisha yashortcut......watafute vijana wenzao watengeneze legacy yao na brand yao najua hata huyo bank teller angekuwa upande wa matilda siamini kama angekubali kuwa grounded hivyo.... kwa brand uliyoijenga toka ujana wako.
Sina wa kumshauri Ila nyinyi mnaangalia personality za mtu mimi naangalia kesi ilivyo hapo ndio tupo separate ways,mimi ningemuona mdau amshauri bank teller na wengine kama bank teller waache kutafuta maisha yashortcut......watafute vijana wenzao watengeneze legacy yao na brand yao najua hata huyo bank teller angekuwa upande wa matilda siamini kama angekubali kuwa grounded hivyo.... kwa brand uliyoijenga toka ujana wako.
mbona ruling bado lakini unaonekana wewe ndiyo umeishikilia hii file? Au unamtisha Matilda na team yake wapull back mpate ushindi wa mezani hahahahahahNa uamuzi upo wazi kesi haina muelekeo inaenda kufa,
Hoja yako hasa ni ipi? kuwa hamna adultery?Sina wa kumshauri Ila nyinyi mnaangalia personality za mtu mimi naangalia kesi ilivyo hapo ndio tupo separate ways,
Nyinyi mnajaji vyeo vyao ndio nnapowaona mnakosea mahakamani hawaangalii cheo, yes ni utambulisho wako lakini hawatoi maamuzi kwa kuangalia wewe bank teller au wewe ni Matrida mama wa nyumbani au wewe ni Prof wa SUA, copy that?Hoja yako hasa ni ipi? kuwa hamna adultery?
sasa unatafuta kufika mbali kwa mtu ambaye hata kuwa naye huru unaogopa yuko age of 65..kweli Mwanamke sijui alichoongea na nyoka bustanini huenda ndiyo hiki cha kupenda kuolewa na baba zao wengine vibabu vya kizungu..huu upofu wa fikira unafundishwa wapi...kwa nini mwanamke aamini kuwa mwanaume wa mZURI KWA SASA NI HUYU WA AGE KUANZIA 40 +Bank teller mshahara hauzidi 400,000/= TSH lini ataweza kununua plot, kujenga, IST na iPhone? Kipochi manyoya (ndo za mchongo) ndio njia rahisi kufikia yote kwa muda mfupi.
Sheria haijataja vyeo lakini (ambayo mahakama itaitumia kufanya ruling) au wewe unatumia sheria ipi?Nyinyi mnajaji vyeo vyao ndio nnapowaona mnakosea mahakamani hawaangalii cheo, yes ni utambulisho wako lakini hawatoi maamuzi kwa kuangalia wewe bank teller au wewe ni Matrida mama wa nyumbani au wewe ni Prof wa SUA, copy that?
Evidence of characterSheria haijataja vyeo? au wewe unatumia sheria ipi?
Ila Mkuu Wakili Msomi kweli hata kama bank teller amekuweka kama Taem ya wakili wake hata kama mnampango wa kuitupilia mbali kwa illegulaties na technical mistake katika ufunguaji wa shauri off which siamini kama upo lakini nimekupenda umekuwa na ukweli kuwa shauri lina mashiko ila unampa muongozo kuwa angeenza na hatua fulani ambapo huo ushauri nao nautilia mashaka unataka kumuingiza chaka ili mmpige goli la mkono.. Nashauri Dada yangu Matilda usifanye withdraw na refilling upya kama huyu jamaa anavyotaka kufanya kuna kaujanja fulani katumwa.. Be carefull..Nyinyi mnajaji vyeo vyao ndio nnapowaona mnakosea mahakamani hawaangalii cheo, yes ni utambulisho wako lakini hawatoi maamuzi kwa kuangalia wewe bank teller au wewe ni Matrida mama wa nyumbani au wewe ni Prof wa SUA, copy that?
Evidence of character
Rejea kusoma Evidence Act utaelewa nnachomaanisha, nyinyi mnaangalia maamuzi yatatolewa kwa kuangalia cheo cha mtu au muonekano wa mtu hell no wanaweza hata wasiwe na kosa la ugoni Ila Matrida kapika kesi kwa sababu zake binafsi you never knowMk