Morogoro Road kuna foleni leo hatari. Kama sio lazima usipite!

Mkoani labda ukachimbe madini, kulimamwatu hawataki kabisa hizo habari.
Hilo jiji la Dar es salaam limeshakuwa overpopulated.

Sasa hivi ni athari za overpopulation zinaonekana.

Watu wanarundikana Dar tu.

Mikoani wanapakimbia.
 
Nimeepa hiyo road nikapita Goba nikapata msala😭
Karibia njia zote. Muda wa peak hrs ni saa 1 asubuh had saa 3 na saa 10 jion had saa 2 usiku.

Kwa Dsm hii. Barabara kubwa huwek kwepa folen kwa mida hiyo.
 
Miundombinu mingi mibovu,ujenzi kila mahali na umesimama una sababisha foleni
Ushauri,pakini magari yenu tu

Ova
 
Hilo jiji la Dar es salaam limeshakuwa overpopulated.

Sasa hivi ni athari za overpopulation zinaonekana.

Watu wanarundikana Dar tu.

Mikoani wanapakimbia.

Hilo jiji la Dar es salaam limeshakuwa overpopulated.

Sasa hivi ni athari za overpopulation zinaonekana.

Watu wanarundikana Dar tu.

Mikoani wanapakimbia.
Na bado population ikifika 15m.
Itakuwa ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…