Morogoro: Selemani Msindi (Afande Sele) adakwa na kulazwa Korokoroni, mdomo wake wamponza

Ingekua logic ni hiyo ingekua watuhumiwa wakifika mahakamani wanaomba msamaha halafu jaji anasema 'Kwakua Mungu anasamehe basi mtuhumiwa anaachiwa huru'
Kwani amevunja Sheria gani ili tuwe na uelewa wa Pamoja
 
Alishaomba radhi asee,tena ameomba msamaha vizuri sana.
Amesema alipokea taarifa ya kifo cha JPM kwa mshtuko akachanganyikiwa na kuanza kuropoko.
Kama Mungu anasemehe sisi wanadamu ni wakina nani tusisamee?
kwa hiyo ndiyo ajirekodi nakutuma kwenye social media? wale wote wanotafuta kiki wasubiri muda siyomrefu. haiwezekani unalia unajirekodi na mwingine anafikiri mungu anaonea, kama alikuruhusu uje kwenye hii dunia ni lazi ma utoke
 

Ujinga huo. Kumlazimisha mtu aamini wanachoamini ni terrorism. Wamuache atajuana na Mungu wake!
 
Huenda wamepokea malalamiko toka kwa Mungu kuwa kitendo hicho kingemsababishia uvunjifu wa amani.
 
Huenda wamepokea malalamiko toka kwa Mungu kuwa kitendo hicho kingemsababishia uvunjifu wa amani.
Tuache mizaha kwenye masuala ya kiroho. Hiki ulichoandika hapa kinaweza kukuweka matatani ama hapa Duniani au huko utapokwenda baada ya kufariki.
 
Na ile dua ya kuwa atakufa kabla ya ramadhan iko palepale kama ataendelea kukakaa korokoroni basi atafia hukohuko
 
Kama haina dini basi iruhusu watu kukashifu imani ya wengine?
Hivi uelewa wenu huwa uko wapi au mnatumia nini kufikiri? Kutokuwa na dini na kukashifu imani za wengine wapi na wapi? Mtu unakuwa mjinga mpaka unakera yaani
 
Huyo mla bange tu,ya siku hiyo ilikua mbichi kabisa wamsamehe bure.
 
Ni sahihi Polisi kumshikilia Selemani Msindi. Mara nyingi kuna watu hujidai kuomba dua madhara yamfike mtu Kisha wao wenyewe huenda kumdhuru mtu huyo Ili wamshuhudie Mungu uongo kuwa katimiza haja yao kabla ya ramadhani.
Hivyo Polisi wamlinde Afande Sele Hadi ramadhani ifike. Ili kama ni kutwaliwa iwe mikononi mwa Polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…