Morogoro: Treni ya SGR (Dar-Dodoma) yakwama Kidete Kilosa kwa zaidi ya saa 4, sababu Hitilafu ya Umeme

Shida sio kuharibika inaweza kutokea lakini TRC mpaka sasa wameshindwa kutoa taarifa rasmi na kuomba radhi tu watu kwa usumbufu. Toa taarifa sahihi hakuna shida.
 
Chini ya serikali hii ya CCM nasema sgr hipumizike kwa amani
Tulikupenda lakini wahujumu uchumi na mafisadi wanaofugwa na CCM wamekupenda zaidi.
 
SIKU TANZANIA ITAKAPOACHA UJINGA ITAFANANA NA CHINA
Mkuu, nimekusoma ni kama vile nzi atakapoacha ujinga atafanana na nyuki.

Tanzania haina tofauti na nzi ambaye anapenda kuzunguka na kula chooni na sehemu zote chafu wakati China ni kama nyuki muda wake mwingi anatumia kufanya kazi katika bustani za maua kupata nector ya kutengeneza asali.
 
Nilisema kuwa hizi mbwembwe za upuuzi wa SGR ni wa masaa.

Kwani mwendokasi ilikuwaje, si ilizinduliwa kwa mbwembwe kama hizi bladifaken. Mwafrika hawezi kitu. anachoweza ni ngono tu na ngoma na ulevi wa kangara
 
Tuwapongeze kwanza TRC kwa kuweza kuanza kwa safari za treni ya mwendokasi.

Hiyo ni changamoto ndogo sana, tena ni ya kawaida kabisa.

Tatizo watu wana negativity nyingi and are not optimistic.

By the way , mbona hamzungumzii matukio ya kukatika kwa umeme mara kadhaa na kukata kwa internet katika mashindano makubwa kabisa duniani ya michezo Olympics ufaransa ?

Watanzania tubadilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…